Darasa akiri kwenda kwa mganga

hausa urrasa

Member
Jan 11, 2017
71
26
Ni maojiano yaliyo fanyika katika kipindi cha hara za roho na kukili kuwa alienda kwa mganga akisema nilienda kwa mganga si kwa ajili ya miziki ni kwa ajili ya maisha yake ni baada ya kushawishiwa na watu ila ajawai kuchanjwa wala kupewa dawa

Duuh ni balaa buluuu
 
Bora yy kasema (kama ni kweli) wapo wengi tu wanao enda kila siku
 
maojiano
hara za roho
miziki
ajawai

napataga shida sana namna ya kusoma aina ya maneno ya namna hiyo
ptuu shule..shule..eshulee..

halienda kwa mganga hakisema ajawai hila hanaweza hakajaribu kidogo.
 
Back
Top Bottom