Kwa wale wadau wa Hiphop, Imam Abass yuko wapi?

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Kuna mwanamziki wa kitambo mwanzo mwa miaka ya 2000's alisumbua sana na kibao chake Bila sana jina lake Imam Abas ic nakumbuka sana mizuka ile katika game hili la sasa jamaa alikua so far gone yani mziki wake kwa sasa ndio ungekua level za juu sana

atakua wapi?,nashauri kama ataapata waya huu arudi kwenye game Hiphop inamapengo sana aje ayazibe mwombozi wa Mitaa ya kazi
 
"Utahema vipi una panga shingoni...

Tangu mdogo sizimii mamwela...

Bora ubaki utotoni, bongo motoni.

Maovu kibao hutaki kufa...

Ni kipofu hata ukivaa miwani..."

Daaah back in ze dei when bongo fleva was asali.

Huwa natamani sana hizi ladha za kipindi hicho tuzipate na kwenye music wa sasa.

'Bila sanaa Mitaa ya Kati'... hii ngoma kwakweli Nature Kiroboto aliitendea haki.

-Kaveli-
 
Kati ya maemcee ambao huwa natamani sana warudi kwenye gemu, ni Imaam Abasy.

Mwaka flani niliwahi kuona freestye battle at MTV Base, and Imaam was among the contestants akirepresent Tz. Battle language ilikuwa ni 'yai'. Daaah He's bad number for sure. Bongo hipHop community tunamiss sana 'madini' ya watu kama hawa.

"Kila kitu siasa umalaya au anasa"

-Kaveli-
 
s

some times wasanii wanakua wakali sana kuliko industry yenyewe sasa kufake wanashindwa na enzi hizo kubembelezana kulukua kwingi sana mziki haukua biashara kama sasa
 
Kati ya maemcee ambao huwa natamani sana warudi kwenye gemu, ni Imaam Abasy.

Mwaka flani niliwahi kuona freestye battle at MTV Base, and Imaam was among the contestants akirepresent Tz. Battle language ilikuwa ni 'yai'. Daaah He's bad number for sure. Bongo hipHop community tunamiss sana 'madini' ya watu kama hawa.

"Kila kitu siasa umalaya au anasa"

-Kaveli-
he is the real mcee aliejificha
 
Iman Abbas makazi yake ilikuwa Ilala mtaa wa Manyoni enzi wao ndio wa kwanza kuja na tv na mwaka 1994 kumbe la dunia tuliangalizia kwao!jamaa kwao wengi walikuqa ng'ambo!then harakati za muziki akawa anapiga mishe Upanga!Bilaa saana ndio ikamuweka kwenye ramani!I rem that best rapper
 
Kuna mwanamziki wa kitambo mwanzo mwa miaka ya 2000's alisumbua sana na kibao chake Bila sana jina lake Imam Abas ic nakumbuka sana mizuka ile katika game hili la sasa jamaa alikua so far gone yani mziki wake kwa sasa ndio ungekua level za juu sana

atakua wapi?,nashauri kama ataapata waya huu arudi kwenye game Hiphop inamapengo sana aje ayazibe mwombozi wa Mitaa ya kazi

Mdau yeyote mwenye wimbo wa Bila sanaa atutupie hapa tuupakue fasta ic
 
Back
Top Bottom