Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,276
- 70,677
Napenda movie za aina hiii hua zinanifurahisha sana nyingine ni Merlin hawa watu wanajua kuigiza kiukweli,pia story zao tamu balaa,,kwa aliewah kuziona hizi movie anajua namaanisha nini,sasa hawa wa kwetu wanavyoigiza jamani bora waache tu wafanye mambo mengine tu maana yanachefuaa,wakasome ikiwezekana kama wanataka kuigiza hawajui kabisa
Mi ntaendelea kuangalia hiz movie bana uzalendo my foot
huyu mzee kwenye picha hapa anaitwa zedd jina la uigizaji kaigiza vyema kabisa huo uchawi ,anachekesha,pia huyo seeker,na huyo dada confessor huchoki kuangaliaaa
Mi ntaendelea kuangalia hiz movie bana uzalendo my foot