AFCON yapoteza mvuto

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,804
Miaka ya nyuma kama saizi tayari akili za watanzania wengi zingekua zimeelekezwa kwenye
maandalizi ya michuano ya AFCON ila saizi sisikii chochote about hii issue zaidi ya Diamond
kwenda kutumbuiza

hadi nikajipa jibu kua labda kwasababu ya uongozi wa Hapa kazi tu watu wamekua busy na utafutaji na utatuzi wa maisha isitoshe huu ni mwezi dume.

All the best Uganda leta kombe east Africa
 
Angalia ujinga wa CAF

1. Mashindano yako displaced. Ligi nyingine kubwa duniani ziko active, bora wangefanya June, July

2. Muda wa kuandaa uwe miaka minne. Miwili inachosha ndo maana itakuwa kama hakuna jipya, kama bonanza tu.

3. Kingine wakifata one and two hapo huu, hata wachezaju maarufu kwenye asili ya Afrika watajisikia kuja kucheza.

4. Timu ziongezwe ziwe 24 maana Afrika ina nchi nyingi zaidi ya 50.

Kama kuna mtu anaweza kuwakilisha haya mawazi CAF kwa niaba ya wengi (maana ni mawazo ya wengi niliyoyapata from time to time) na wakayafanyia kazi utamu na mvuto utapatikana
 
Back
Top Bottom