Nyimbo mpya love you die patoranking & diamond platinum

Nyimbo mpya love you die patoranking & diamond platinum

Kuna watu sasa watajawa na stress wiki nzima. Kuishi na wabongo shughuli, chuki nje nje
Kiaje Kaka. Wengi tumekimbia jukwaa la siasa lile ndiyo stress tupu. Unasikia wenzako wamepiga bilioni.
 
Diamond hongera sana. Kijana unajua safi sana. Hii nyimbo inakuwa ya Africa.

Nashindwa Kuiweka hapa kwa mtakaweza nendeni kwenye bio ya patoraking & diamond muilete hapa wadau wa mziki mzuri waione.

Love you die; level zako kubwa
Nyimbo ya Diamond au patoranking?
 
Wack song...Nigerian sound hakuna jipya..alafu huyu Pantoranking anafanya makusudi hata ngoma ya Navy Kenzo...daini chenu
 
Wack song...Nigerian sound hakuna jipya..alafu huyu Pantoranking anafanya makusudi hata ngoma ya Navy Kenzo...daini chenu
Taarifa mbaya kwako...
Wimbo ni wa Patoranking,Diamond ameshirikishwa tu,So kama unahisi Pato ameimba chini ya kiwango atakuwa amejiharibia mwenyewe...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom