Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,449
- 10,788
Wadau,
Katika tasnia ya muziki Africa ni vigumu kutoitaja Congo. Nimepata kuishi kambi za wakimbizi wa kikongo na huko nilishuhudia namna muziki ulivyo damuni. Kuna kanisa moja la asili wakati wa kuimba yaani ni bonge la bolingo na hutatamani ibada iishe. Wakati wa udogo wangu kuna mziki wa Azalaki - Ghato(sijui kaishia wapi) tuliucheza sana kwa kuwaiga wa-Zaire huku mshindi akipewa zawadi ya Big G/jojo/bazoka.
Hebu kama umewahi kupenda nyimbo za wakongo tupia walau mmoja na jina la mwanamuziki aliyekukosha enzi za udogo wako na unakumbuka nini.
Twende kazi...!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums