Ni nchi gani duniani ni wazuri wa series?

Ni nchi gani duniani ni wazuri wa series?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
1477147945795.jpg

Ni nchi gani duniani ni wakali wa series duniani.
1.Korea
2.Uingereza
3.Marekani
4.India
 
..mkuu Hao watu wote wana series za sampuli Yao zenye maudhui tofauti kabisa according to their lifestlyle,sasa unaongelea aina Gani ya series exactly????
 
..mkuu Hao watu wote wana series za sampuli Yao zenye maudhui tofauti kabisa according to their lifestlyle,sasa unaongelea aina Gani ya series exactly????
swal la msingi sana,pengne mleta uzi hana uelewa mpana wa categor zake
 
Back
Top Bottom