Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,636
Nakumbuka kipindi cha nyuma Kenya walikua wakituongoza kimuziki katika ukanda wa East Africa.Kwa bahati nzuri baada ya revolution kufanywa na vijana wa Bongo Fleva Tz tumefanikiwa kuongoza East Africa hadi mpaka sasa wasanii wa Bongo ndo wanakamatia fursa kwenye Top 10 za Kenya mpaka hadi sasa wasanii Kenya wanakimbilia collabo na wabongo hadi mpaka kuja kufanya production Bongo.Cha kusikitisha kuna baadhi ya Wasanii wetu wanaiga sasa wa Nigeria mpaka kufanya mziki wetu upoteze identity...Nimeshangazwa na Madee kwenye nyimbo yake mpya na pia Diamond Platnumz kwenye Eneka.Jamani tatizo nini,East Africa was already dancing to our tune,& for us we're after these Nigerians mpaka tunaanza kupoteza identity yetu.Tukiendelea hiv....kwakweli in the next 5 years Bongo Fleva kutakua hakuna tena.Tutakua wa Nigeria sasa.So,sad ni kwamba hata huko Nigeria sijaona yeyote anaenda kupiga show.Its a shame.Tubadilike!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app