kupakia nyimbo

kupakia nyimbo

Mjomba kazola

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
33
Reaction score
14
habari zenu ndugu zangu
samahani naomba kuuliza kwa wale wataalamu wa kupakia(upload) nyimbo mtandaon
kua nime pakia nyimbo yangu ktk hizi free sites kama vile audiomack/bandcamp nk
lakini nikienda ku search google sizion link zake

so kwa anaye fahamu namna ambayo naweza kufanya ili mtu aki search nyimbo yangu
kwenye GOOGLE aweze kuona links

au kama mtu ana blog ana upload free naomba anisaidie
asanteni
 
Duh hii nzuri sana kwani hata mie huwa inanisumbua

SIJUI KESHO.
 
Back
Top Bottom