Kwanza nampongeza aliyefikiria wazo ili la kukutanisha wasanii wote kuzunguka mikoani na kutoa burudani.
Ni uzalendo.Hawa wanao jitenga aidha ktk kujiona kuwa wao ni masitaa au wanataka dau kubwa ni wasaliti.
Ningesapoti kazi zao tuzipige chini hata kama nzuri namna gani.
Pili,nampongeza mratibu wao kwa wazo la fursa kabla ya burudani.Inatia vijana matumaini ktk mazingira ya kupambana na hali yako Unaweza kupata wazo la plan B.
Nifikiri isiishie kwenye bongo flavour iende mbali hata kwa wasanii wa maingizo na gospel.
Jumamosi Njema