Mashairi tata Bongo fleva

Mashairi tata Bongo fleva

Eagle 01

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
11
Reaction score
2
Hii tabia ya wasanii bongo kutunga mashairi tata siielewi kabisa kuna wakati inakuwa ngumu kusikiliza au kutazama na familia.

Kwa mliosikiliza huu wimbo wa Madada Sita unaitwa Usingoje ni balaaa!!!
 
Hatuwajui na hatuna mpango wa kuwajua wenzenu wanalipia matangazo nyie mnakuja madada-gwanyoko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom