Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,745
2,000
Hakuna ubishi kwamba huu muziki ndiyo unaosumbua zaidi kwa sasa duniani!! Chart mbali mbali duniani zimekuwa zikimezwa na huu muziki, Kuanzia Billboard, Uk top 40 na nyinginezo!

Imefika wakati waliokuwa wasanii wakubwa wa muziki wa RnB nao wamebebwa na upepo wa Pop, ina maana ili kazi yako ihit huko duniani basi nia shurti uimbe pop, Tumewashuhudia akina Jason Derulo, Rihanna, Beyonce hata akina Justin Timberlake wakibadilika ili kuendana na hii kasi!

Kwa kifupi RnB na Na hiphop ya miaka ya 90 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa tamu ila Pop ni tamu zaidi!!

Katika huu muziki wa pop napenda sana kuwasikiliza akina dada, na ninaowasikiliza zaidi ji pamoja na...

1. Demi Lovato

2. Selena Gomez

3. Ariana Grande

4. Katy Perry

5. Sia

6. Taylor Swift

7. Rachel Platten

8. Ellie Goudling

9. Fifth Harmony

10. Little Mix

Wasanii wa kiume wanaofanya vizuri sana kwa sasa ni pamoja na The Weeknd, Edd Sheeran, Charie Puth, Justin Bieber, Shawn Mendez na Bruno Mars

Je wewe unawaelewa zaidi wasanii wapi katika huu muziki, inasemekana Taylor Swift mpaka sasa ndiye kinara katika Pop, wengine wakaenda mbali na kudai yeye ndiye Pop Industry! Je unakubaliana na hili, kama siye nani anapaswa kuwa kinara wa pop music??
 

Travoo

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
402
500
UK top 40 ni kwikwi niliacha sikiliza Hip hop baada ya matusi kuwa mengi na mi nikawa na familia nikaona Pop ni solution kwan siwez ishi bila music
 

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,745
2,000
Elle King ana ngoma inaitwa Ex n Oh's
Album yake inaitwa Love stuff..hiyo ngoma ilisumbua sana2015/16
0004344081.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom