Muvi kali mpya za kichina,kolea,kihindi pàmoja na za kizungu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wana jf, nina mpango wa kufungu kitu kinachoitwa Library ( yaani kwa ajili ya kuuza filamu ) sasa nilikuwa nina ombi moja kwenu wakuu wangu mnisaidie list za muvi kali iwe ni sirizi au hata za kawaida ili mradi iwe kali ili niweze kuzinunuwa na kuziweka kwenye duka langu naombeñi mnisaidie wadau
Muvi za aina zote nitazihitaji

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
 
Series za kikorea
Moon lovers
Rebel
Ruler:Master of the mask
Saimdang
Save me
Missing nine
Hwarang
Unni is Alive
Lie and his boyfriend

Zipo kibao dramafire.com
 
Acha uvivu mkuu, ndio maana kuna search button ukiangalia. Kila siku watu huwa wanatupia links za movies na series kali. Pekua pekua utazikuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom