Tamthilia ya Quantico yatumia Kiswahili

Tamthilia ya Quantico yatumia Kiswahili

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,222
Reaction score
18,249
Tamthilia maarufu ya Marekani Quantico imetumia lugha ya kiswahili katika episode yake ya kwanza season(msimu) ya pili.Tamthilia inayoigizwa na Muigizaji maarufu wa India Priyanka Chopra imetumia kiswahili kuonyesha watekaji wanaomteka rais wa Marekani.Hii inaonyesha kiswahili chetu kinatambulika kimataifa
1475878857504.png
 
Quantico Swahili scene season 2 episode 1

Source: Picasso
Katika series hii mfasiri wa wanausalama anawadokeza kuwa magaidi wanaoongea Kiswahili siyo wazawa halisi wa Afrika Mashariki kutokana na lafudhi yao, bali magaidi hao walitumia Kiswahili ili kuficha utambulisho wao ili kuzidi kuwachanganya wanausalama.

N.B
Kiswahili ni lugha pendwa ktk Movie nyingi sana na hii ya series kuanza kutumia Kiswahili ni hatua moja ya kufurahia lugha yetu kutumika duniani katika tasnia ya filamu, series na hata Games (video /playstation/ computer) nyimbo za Kiswahili/soundtrack.

Mfano sinema ya Phone Booth (2002) kuna ''machinga anajaribu kuuza bidhaa zake kwa Kiswahili ktk jiji moja la Marekani.

Pia movie ya The A-Team Swahili Scene Kiswahili kinatumika:


Source: Antony Chiha
 
Duh, Quantico.

Show nyingine una DVR halafu unatupa kwenye NAS halafu unasahau kuangalia.

Nimeangalia hapa nakuta Season nzima ipo halafu sijaifuatilia baada ya kuangalia the first few episodes.

This new season with Swahili is what the New York Times film reviewer A.O Scott calls "at the collision of must-see and won't see"

So many shows, not enough time.
 
Yaan lugha nyepes ni kwamba magaidi wanapenda kiswahl enhee sehemu zote wameshindwa kuweka mpka scene ya terrorism
 
kiswahili ni lugha ya kigaidi katika hiyo series
 
Back
Top Bottom