Kamanda hebu nisaidie kidogo

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
435
273
Hivi kuna wimbo mmoja uliwahi kufanyiwa movie moja bongo hapa.ambapo msanii alikuwa mpiga debe stend alaf anakuja kuchukuliwa na jamaa baada ya kuonekana ana kipaji cha kuchana mistar.kwenye chorus unaimba hivi:kupiga debe kwangu ilikuwa poa,fani katika maisha ikaja kuniokoa,kwa radhi ya wazazi nyumbani nikapata mke......haya ndo maneno ninayoyakumbuka.anayeupata jina na msanii aliyeuimba naomba anikumbushe ikiwezekana na jinsi ya kuupata.
 
Da kumbe lilikuwa kundi.hivi hiyo ngoma ilikuwa ya kundi au vip.alaf unaweza kukumbuka wasanii wengine waliokuwa wanaunda kundi hilo
 
Enzi hizo alikuwepo Q Chief (ndo ameimba chorus), Jimmy Master ka umeicheki hy movie wote walioigiza walikuwa ni members wa kundi..ila majina yamenitoka, kadri nitakavyokumbuka nitakushtua..ka unautaka wimbo nenda 'www.eastafricantube.com' utaupata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom