Kwanini bia aina ya safari kuna utofauti kati ya rungu na kawaida zina radha tofouti?

jambo Tanzania

JF-Expert Member
May 29, 2017
377
281
Nimekuwa mpenzi wa bia aina ya safari kwa muda mrefu sasa lakini ukiangalia kuna utofauti wa chupa zake moja pale kwenye kifuniko ina shingo nene yaani rungu na nyingine shingo nyembamba .sasa radha yake pia utofautiana ile yenye shingo nene ni tamu zaidi ya nyembamba hivi ni kwanini?
 
Back
Top Bottom