Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Simulizi: MPAKA KIELEWEKE Mwandishi: NIRA SAIRE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo lile la ugenini nikiwa busy kwenye simu...
3 Reactions
131 Replies
20K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo...
145 Reactions
7K Replies
2M Views
JAMAA YANGU Msanii: YAKI Producer: Amba Intro Yoh Amba it's Yaki again Babi this song special dedicate to ma best friend --- Verse I Tumeishi kama ndugu moja wa kuzaliwa/ We kushoto mi kulia...
1 Reactions
0 Replies
48 Views
kipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From" Najutaa🤣 Maoni ya Mdau Game of thrones msimu wa mwisho Pia watu walikuwa wanaisifia sana ‘Money Heist”...
10 Reactions
81 Replies
1K Views
Moja ya series kali kabisa kuwai kutengenezwa, inaelezea kipindi ambapo maisha yanakuvuruga na kujikuta, mtu mwema unalazimika kufanya maamuzi magumu ili kujiokoa.
1 Reactions
4 Replies
110 Views
historia ya mwanamuziki peter crazy Mei 19, 2018 peter crazy peter crazy ni jina la kisanaa la kijana anaeitwa peter msuku ambae ni mwanamuziki wa miondoko ya rap na mwandishi wa nyimbo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Asee ndugu zangu mnaweza ona nazingua lakini si kweli wakuu, inafika hatua nashindwa kabisa, nilifikiri ni sana lakini mambo nayaona tofauti MNO. Nahitaji kushare mawazo na nyie ndugu zangu...
2 Reactions
39 Replies
239 Views
Justin Kalikawe, ni moja ya waasisi wa muziki wa reggae ya Kiswahili. Na moja ya wasanii wa muziki wa Kiswahili waliosumbua sana mwanzoni mwa miaka ya 1990. Justin Kalikawe, alitamba zaidi na...
23 Reactions
135 Replies
46K Views
Kama umechoka na movie za risasi zisizo na msingi au drama za kupoteza muda, tuliza akili yako halafu tafuta hii show. Into the Badlands ni moja kati ya series zilizofanya mapinduzi makubwa ya...
4 Reactions
23 Replies
279 Views
Habari zenu ndugu zangu, mambo yamekua magumu kwangu, gharama kubwa za uendeshaji chanzo cha kughaili, mtu niliemtegemea kufanya nae kazi tumeshindwana, mambo yamekwenda kinyume nilivo tegemea...
2 Reactions
17 Replies
92 Views
Shaggy chifu wa Wasukuma!!!, ama kweli Wasukuma tumeishiwa. Jamii yetu imejengwa katika matabaka mbalimbali ambayo nguzo zake kuu ni mila na desturi. Tatizo kubwa ambalo linaikabili jamii yetu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mavi ya kale hayanuki. Hii ni simulizi nyingine ya kweli way back 2007 Mwananyamala.. Bado nilikuwa single hivyo naomba nisipigwe mawe na wale wanaharakati wa baki na mmoja Wanaopafahamu Royal...
34 Reactions
137 Replies
25K Views
Humu ndani kuna vibao 14 na vingi ni moto kwangu mimi Mlamba Mawingu Kuna Ma Afrohouse humo, Bongo Fleva ila hii Loser aliomshirkikisha Sofiya Nzau ipo kwa repeat kwa sasa.
1 Reactions
0 Replies
66 Views
Sijigambi sijitapi lakini baada ya kusikiliza kichupa nilicho kianda itoshe kusema NIMEJITAWADHA RASMI kuwa Mimi ni mfalme wa wafalme king of BONGO la PIANO, huu ni mziki MPYA nilio uvumbua Mimi...
4 Reactions
23 Replies
181 Views
Bob Marley na wailers wamesahidia kuufanya muziki wa reggae kuwa mkubwa na pendwa duniani kwa kuubiri upendo, ukombozi na ukweli. Msanii gani wa reggae kakushawishi kupenda au kufuatilia mziki wa...
9 Reactions
85 Replies
3K Views
When I was sick as a little kid To keep me happy, there's no limit to the things you did And all my childhood memories Are full of all the sweet things you did for me And even though I act crazy I...
2 Reactions
2 Replies
102 Views
Wakuu ee kuna mda wa kazi na kuna mda wa kuenjoy. Now nawaleta season kali zilizotoka mwaka huu na zinazoendelea kutoka 1.Fightland 2.Vagabond 3.The ark(hii inaendelea itafute ni kali sana watu...
0 Reactions
3 Replies
158 Views
Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Back
Top Bottom