Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa kwa umma kuhusu maamuzi yaliyotolewa dhidi ya msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava...
4 Reactions
36 Replies
551 Views
Feeling nostalgic 🥺 Wazazi walipenda mziki, nimekua nikisikiliza sana music toka utotoni, memories ni nyingi. Franco / Le TP OK Jazz - Mario https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=_6WGbT7EumRT0wX1...
39 Reactions
422 Replies
10K Views
Ladies and gentlemen, its me again. The creater of stories like “How I met my wife” na “Cheaters: the series”. Nakuleteeni Goodness of fit. A story of love, blackmail, betrayal and politics...
30 Reactions
184 Replies
65K Views
1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9)...
3 Reactions
16 Replies
339 Views
Disclaimer: hii ni hadithi ya kufikirika, ukikutana na typing errors skip hata mimi ni binadamu nakosea Tiririka....... SEHEMU YA KWANZA (01) NGRIIIIIIIII, NGRIIIIIIIIIIIIIII...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Nadharia ya Kijasusi: Nyuma ya Vifo vya Tupac na Biggie; Je, Kulikuwa na ‘Wall Street’, Polisi Mafisadi na Biashara ya Bima ya Maisha? Wakuu, salamu. Kwa miongo mitatu, ulimwengu unalishwa...
1 Reactions
4 Replies
151 Views
Hii Tv show imekuwa created na Justin Roiland and Dan Harmon. Ni kati ya zile animation bora binafsi naikubali yani haipiti week sijarudia hata episode 1, iko full package ni Dark, funny...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Hivi vikundi sijui kama vipo now,ila kundi gani ilikuwa noma na ilikuvutia kwa mziki
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Paul Makonda: Nimepitia ripoti zote za Vazi la Taifa, walikubaliana kuto kukubaliana
1 Reactions
2 Replies
80 Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Matangazo yalikuwa yamebandikwa kila kona ndani ya Jiji la Dar es Salaam yaliyokuwa yakihusu ujio...
5 Reactions
29 Replies
25K Views
Dunia inaweza isije ikashuhudia tena tamthilia inayoweza kuunganisha watu duniani kote kama Game of Thrones. Sio tu kwa sababu ya bajeti kubwa au madragon, bali kwa sababu ya jinsi...
2 Reactions
0 Replies
54 Views
Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo...
10 Reactions
69 Replies
1K Views
Leo nimeona niliseme na hili, Mimi ni mtu wa kushinda kazini na kurudi nyumbani jioni, sina mda kabisa wa kutazama TV. Hivi karibuni nilikuwa na likizo so nikaamua kuitumia kukaa na familia na mda...
2 Reactions
3 Replies
74 Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ameeleza kuwa jitihada za kutafuta Mdundo wa Taifa zimekuwa zikikabiliwa na changamoto za kimitazamo na maoni tofauti kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC...
0 Reactions
1 Replies
39 Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa jumla ya Tsh. Bilioni 2 ziko tayari kutolewa kama gawio la ada za hakimiliki (copyright levy) kupitia COSOTA kwa...
0 Reactions
2 Replies
58 Views
Basata kufungia wimbo wa HARMONIZE wa "kudos" wamekosea sana hii tupo 2026 sio 70s au 80s, maisha yanabadilika lazima twende na wakati, katika video ya wimbo huo Kwa maisha ya Sasa sijaona kosa...
0 Reactions
9 Replies
141 Views
Utangulizi Wimbo "Maya" uliotungwa na mshairi nguli wa Kongo, Lutumba Simaro Massiya, na kurekodiwa mwaka 1984 na bendi ya TP OK Jazz, unatajwa kuwa moja ya kazi bora zaidi kuwahi kutokea katika...
1 Reactions
2 Replies
91 Views
Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Micky, ametangaza rasmi kuwa amewasilisha malalamiko ya kisheria katika Bodi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), akituhumu kikundi cha watu kwa kuvuka mipaka...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
[African roots reggae -Ver] [Intro] Mema hayafi kwa kukataliwa, Nuru haifi kwa kivuli; Moyo ukijua kujitawala, Dunia huanza kuwa salama. [Verse 1] Ulitenda jema kwa nia safi, Ukajibiwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
47 Views
Back
Top Bottom