Historia ya Bongo Fleva na walioikuza tangu 1993

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kwanza tuwe wawazi kwamba miaka ya 1990 ukionekana unaimba bongo fleva ilionekana we ni muhuni, mwizi au mvuta bangi,
Haikuwa kazi ndogo sana kuifanya bongo fleva Ikubalike,

Kubali ukatae hawa watu wana mchango mkubwa katika kufanya bongo fleva ikakubalika

1.James Dandu (mtoto wa Dandu)
Huyu ndo kaanzisha bongo fleva kwa kuchanganya na kurudia za zamani ngoma maarufu kama mamou, iliyohusika na wamiliki
Pichani
Abdallah Mrisho (kushoto) akiwa na marehemu James Dandu (katikati) na Erick Shigongo (kulia) mwaka 2001.
FB_IMG_1526403799327.jpg

2. Joseph Haule (Prof Jay)
Bwana huyu ndo kafanya mziki ukubalike, sana hapa nchini
Kupitia track- ndiyo mzee, bongo dar es salaam na Nyingine nyingi, alifanya wazazi waanze kuuelewa mziki, tatizo kubwa lilibaki kwenye mavazi majeans makubwa makubwa ambayo hayakuonekana kupendwa na wazee,
Picha yake inaonesha kwa fikra mstari huu
Ngoma inakuwa nzito mkikutana matapeli akil kumkichwa ukilemaa umeachwa feli aliyeuziw Cheni katoa hela ya bandia na aliypokea ela nae katoa Cheni ya bandia kwa tuliozoea jji tnasema ngma droo
FB_IMG_1526404296032.jpg

3. Joseph Mbilinyi
Huyu kufanya kazi ya kuwa inspire wengine kina afande sele , jide na vijana wengi sana na kufanya wajitume katika mziki,

Wanamwita suguu naniii wanamwita suguu naniii
7622_160890532732_160887377732_2644697_3701083_n.jpg

4. Lady Jay Dee huyu ni mkongwe upande wa wanawake, ambaye pia kafanya kazi kubwa katika kuuendeleza mziki na kufanya inspiration kwa vijana na wanaochupikia kimziki,
FB_IMG_1526405146850.jpg

5. Juma Nature
Hakuna anayebishi kwa uhamasishaji aliofanya na kuanza kuuweka mziki kwenye biashara zaid ya hasara,
Tungo zake matata
images (27).jpeg

6. Dully sykes
howwe_a30871684a5a3ffe07f8be049dfefa31_1382859322.jpg

Hao ndo wameweka ramani ya bongo fleva, na wengine kama Solo Thang, na afande sele

MAPRODUCERS AU WATAYARISHAJI

Licha ya studio za mwanzo kama Studio Mawingu Sinza, Soundcrafters Temeke na Don Bosco Upanga
Lakin mapinduzi ya kweli yameletwa na hawa

1. Paul p-funk majani
Huyu bila yeye hata hao tunaowataja wasingeibuka kama angebweteka , Ana 70% ya mchango kwenye mziki huu
Pichani akiwa na Diamond na Jay , nakumbuka diamond alisema ni bahati sana kufanya kazi kwa majani maana huwa ni vigumu hata uje na hela ngapi kama hajapanga hajapanga,
Professor-Jay-na-Diamond-wakiwa-ndani-studio-ya-P.-Funk-Majani.jpg

Bila yeye ,husingemjua, Jay, Mbilinyi, sele ,Jay mo, pingu na deso, nura, man dojo na domokaya, ngwair R.I.p ,dulLy sykes, Temba na wengine kama chid benz,

2. Master Jay
3. Mika mwamba
4. Mapigo Allan

RIKA LA KATI WALIOCHANGIA MZIKI KUKUA
1.Ay na FA hawa ni rika la kati lililoupaisha na kuongeza speed
2. Mb doggy
3. Ngwair
4. Ferooz
5. Alli kiba
6. Chid benz
7. Jay mo
8. T.I.d
9. Q-chilla
10. Ray c
11.Dudu baya
12. Temba
13. Chege
14. Fid q
15. Mr blue
16. Gk

MAKUNDI YALIYOFANYA VEMA
1. T.M.K 2004-2006
2. Nako 2 Nako
3.East coast
4. TOP band
5. Wachuja nafaka ,
6. Daz nundaz

MEDIA ZILIZOCHANGIA

1. Ilianza Chanell 5 ambayo ilifanya vema na east Africa 'redio, kipindi salama Jabiri akiwananga wanamuziki, lakin naye alifanya kazi ya kutambulisha ngoma mpya, kila jumamosi alipitia bongo records kuchukua track mpya na kutambulisha,

2. R.F.A hii ilikuwa radio inayosikika sehem zote ndani ya Tanzania ilitumika vema sana katika kueneza mziki na kuwashindanisha wasanii,

3. East Africa radio vivyo hivo ilitoa mchongo wake mkubwa sana sana ,

4. Clouds fm imeleta.changamoto kubwa na kuinua mziki, lakin mziki wenye natabaka na kufanya baadhi ya watu kuonekana wako juu, na wengine chini, hii ilikuwa kwa maslahi yao,
Lakin pamoja na hiyo pongezi kwao kwa kukuza ushindani wa.mziki na kuleta wasanii mbali mbali wa nje na kuandaa matamasha,

MZIKI KIMATAIFA
Binafsi nawapa pongezi watu wafuatao wameupeleka mziki wetu nje

1.JUMA NATURE 2004/5 aliposhinda tuzo ya nje ya Tanzania , na kuufanya mziki wetu uangaliwe kwa jicho lingine

Nakumbuka mwaka 2006 alipata mwaliko, ujerumani na mtu alikuwa akimfuatilia kupitia channel O Akafika huko akawa kivutio katika show zake za mapanga na wanaume family,
Kenya,msumbiji,kongo, Burundi na Rwanda alitambulika sana, kwa watoto wa juzi hawajui hii,
Tatizo la nature ni pombe sana imemshusha pamoja na kwamba yuko na kipaji ,chupa imemtoa kwenye mstari

2. Ambwene Yessaya, huyu kawatambulisha vijana wengi nje, kuanza na Diamond yaan Nasib Abdul amepelekwa Africa kusini kuanza kutambulika kimataifa,na hajaacha

3. Diamond platinum,sasa nafasi hii ameifanyia kweli na ameweza kutrend kimataifa sana kuliko wengine wote kwa sasa , ni kutokana na umahiri wake wa kutochezea golden chances
Ameendelea vizuri sana na mziki kuupeleka nje ya Africa zaidi,

4. Ali kiba,
Huyu ni mwenye kipaji cha juu sana kuzidi wasanii wengi akiweno na Diamond, tatizo lake hana washauri na wabunifu wazuri,

Huyu alikuwa mtu wa pili baada ya Juma nature ,kutambulika kimataifa, kipindi hicho wakitoa project na R- Kelly ,
Ila hakutumia nafasi hizo vema hakujua ipo siku ataanza kuzijutia,
Lakin pamoja na hayo bado amefanya vema kimuziki ndani na nje ya mipaka,

Hawa watu wamefanya mziki uitwe mziki ndani ya Tanzania

Asilimia kubwa ya muziki na wanamziki wake tokea 2010+ wanazungumzia ngono na scandal za watu , siyo mziki imara tena kuna pahala wanapaswa kusahihisha

Note that si kila msanii katajwa wametajwa waliokuwa na mchango mkubwa, sana

Britannica
 
Abdallah Mrisho (kushoto) akiwa na marehemu James Dandu (katikati) na Erick Shigongo (kulia) mwaka 2001.

FB_IMG_1526403799327.jpg
 
Kwanza tuwe wawazi kwamba miaka ya 1990 ukionekana unaimba bongo fleva ilionekana we ni muhuni, mwizi au mvuta bangi,
Haikuwa kazi ndogo sana kuifanya bongo fleva Ikubalike,

Kubali ukatae hawa watu wana mchango mkubwa katika kufanya bongo fleva ikakubalika

1.James Dandu (mtoto wa Dandu)
Huyu ndo kaanzisha bongo fleva kwa kuchanganya na kurudia za zamani ngoma maarufu kama mamou, iliyohusika na wamiliki
Pichani
Abdallah Mrisho (kushoto) akiwa na marehemu James Dandu (katikati) na Erick Shigongo (kulia) mwaka 2001.
View attachment 778528

2. Joseph Haule (Prof Jay)
Bwana huyu ndo kafanya mziki ukubalike, sana hapa nchini
Kupitia track- ndiyo mzee, bongo dar es salaam na Nyingine nyingi, alifanya wazazi waanze kuuelewa mziki, tatizo kubwa lilibaki kwenye mavazi majeans makubwa makubwa ambayo hayakuonekana kupendwa na wazee,
Picha yake inaonesha kwa fikra mstari huu
Ngoma inakuwa nzito mkikutana matapeli akil kumkichwa ukilemaa umeachwa feli aliyeuziw Cheni katoa hela ya bandia na aliypokea ela nae katoa Cheni ya bandia kwa tuliozoea jji tnasema ngma droo
View attachment 778530

3. Joseph Mbilinyi
Huyu kufanya kazi ya kuwa inspire wengine kina afande sele , jide na vijana wengi sana na kufanya wajitume katika mziki,

Wanamwita suguu naniii wanamwita suguu naniii
View attachment 778534

4. Lady Jay Dee huyu ni mkongwe upande wa wanawake, ambaye pia kafanya kazi kubwa katika kuuendeleza mziki na kufanya inspiration kwa vijana na wanaochupikia kimziki,
View attachment 778538

5. Mr Nice
Hakuna anayebishi kwa uhamasishaji aliofanya na kuanza kuuweka mziki kwenye biashara zaid ya hasara,

Hao ndo wameweka ramani ya bongo fleva,

MAPRODUCERS AU WATAYARISHAJI

1. Paul p-funk majani
Huyu bila yeye hata hao tunaowataja wasingeibuka kama angebweteka , Ana 70% ya mchango kwenye mziki huu

Bila yeye ,husingemjua, Jay, Mbilinyi, sele ,Jay mo, pingu na deso, nura, man dojo na domokaya, ngwair R.I.p ,dulLy sykes, Temba na wengine kama chid benz,

2. Master Jay
3. Mika mwamba
4. Mapigo Allan

RIKA LA KATI WALIOCHANGIA MZIKI KUKUA
1. Juma nature kibra,
2.Ay na FA hawa ni rika la kati lililoupaisha na kuongeza speed
3. Ngwair
4. Alli kiba
5. Chid benz
6. Gk
7. Jay mo
8. T.I.d
9. Q-chilla
10. Ray c
11.Dudu baya
12. Temba
13. Chege
14. Fid q

MAKUNDI YALIYOFANYA VEMA
1. T.M.K 2004-2006
2. Nako 2 Nako
3.East coast
4. TOP band
5. Wachuja nafaka ,

MEDIA ZILIZOCHANGIA

1. Ilianza Chanell 5 ambayo ilifanya vema na east Africa 'redio, kipindi salama Jabiri akiwananga wanamuziki, lakin naye alifanya kazi ya kutambulisha ngoma mpya, kila jumamosi alipitia bongo records kuchukua track mpya na kutambulisha,

2. R.F.A hii ilikuwa radio inayosikika sehem zote ndani ya Tanzania ilitumika vema sana katika kueneza mziki na kuwashindanisha wasanii,

3. East Africa radio vivyo hivo ilitoa mchongo wake mkubwa sana sana ,

4. Clouds fm imeleta.changamoto kubwa na kuinua mziki, lakin mziki wenye natabaka na kufanya baadhi ya watu kuonekana wako juu, na wengine chini, hii ilikuwa kwa maslahi yao,
Lakin pamoja na hiyo pongezi kwao kwa kukuza ushindani wa.mziki na kuleta wasanii mbali mbali wa nje na kuandaa matamasha,

MZIKI KIMATAIFA
Binafsi nawapa pongezi watu wafuatao wameupeleka mziki wetu nje

1.JUMA NATURE 2004/5 aliposhinda tuzo ya nje ya Tanzania , na kuufanya mziki wetu uangaliwe kwa jicho lingine

Nakumbuka mwaka 2006 alipata mwaliko, ujerumani na mtu alikuwa akimfuatilia kupitia channel O Akafika huko akawa kivutio katika show zake za mapanga na wanaume family,
Kenya,msumbiji,kongo, Burundi na Rwanda alitambulika sana, kwa watoto wa juzi hawajui hii,
Tatizo la nature ni pombe sana imemshusha pamoja na kwamba yuko na kipaji ,chupa imemtoa kwenye mstari

2. Ambwene Yessaya, huyu kawatambulisha vijana wengi nje, kuanza na Diamond yaan Nasib Abdul amepelekwa Africa kusini kuanza kutambulika kimataifa,na hajaacha

3. Diamond platinum,sasa nafasi hii ameifanyia kweli na ameweza kutrend kimataifa sana kuliko wengine wote kwa sasa , ni kutokana na umahiri wake wa kutochezea golden chances
Ameendelea vizuri sana na mziki kuupeleka nje ya Africa zaidi,

4. Ali kiba,
Huyu ni mwenye kipaji cha juu sana kuzidi wasanii wengi akiweno na Diamond, tatizo lake hana washauri na wabunifu wazuri,

Huyu alikuwa mtu wa pili baada ya Juma nature ,kutambulika kimataifa, kipindi hicho wakitoa project na R- Kelly ,
Ila hakutumia nafasi hizo vema hakujua ipo siku ataanza kuzijutia,
Lakin pamoja na hayo bado amefanya vema kimuziki ndani na nje ya mipaka,

Hawa watu wamefanya mziki uitwe mziki ndani ya Tanzania

Asilimia kubwa ya muziki na wanamziki wake tokea 2010+ wanazungumzia ngono na scandal za watu , siyo mziki imara tena kuna pahala wanapaswa kusahihisha
Nimependa hitimisho lako hapo ulipoBold, upo sahihi kabisa chief.
 
Q Chief.

Sister P.

Rah P.

Zay B.

Dudu Baya na Dar scandal.

John Mjema.

Rico Spider.

Akili the Brain.

Big Dog Posse.

Steve 2K

Mzimuni family.

Dataz.

Squeezer.

Wapo wengi mnooo
John Mjema

Steve 2K

Mungu awaweke mahala wanapo staili aisee.
 
Hujarudi nyuma enzi za Kwanza Unit,au nyuma zaidi kwa Salehe Jabir.

Miakaya mwisho ya themanini na ya mwanzo ya tisini.

Kabla Sugu hajaja Dar, wakati huo Professor J ni mbeba mabegi tu wa Hard Blasterz. Hata Studio hajaruhusiwa kurekodi.
 
Hujarudi nyuma enzi za Kwanza Unit,au nyuma zaidi kwa Salehe Jabir.

Miakaya mwisho ya themanini na ya mwanzo ya tisini.

Kabla Sugu hajaja Dar, wakati hup Professor J ni mbeba mabegi tu wa Hard Blasterz. Hata Studio hajaruhusiwa kurekodi.
Hahaha aisee.
 
Q Chief.

Sister P.

Rah P.

Zay B.

Dudu Baya na Dar scandal.

John Mjema.

Rico Spider.

Akili the Brain.

Big Dog Posse.

Steve 2K

Mzimuni family.

Dataz.

Squeezer.

Wapo wengi mnooo
So kila.mtu hutajwa tunataja waliotoa jasho
 
umesema Bongo flava kuanzia 1993 lakini umekuja kuzungumzia bongo fleva ya 2000

yani Mr Nice ameupeleka mziki wa bongo mbali kuliko J Nature kweli??? labda kwa watoto Mr Nice ndio hakuwa mpinzani. Hivi ulizisikiliza tungo za Nature kweli??? mtu kama Balozi hata kujisahaulisha tu halafu unamtaja au Imam Abbas

nimesikitika ktk list zako hakuna sehemu alipotajwa Mr Blue

halafu katika makundi umetaja sijui Top Band sijui Nako 2 Nako makundi ambayo yamekuja 2005+ mkuu hivi ushasikia kitu kuhusu HBC, Kwanza Unit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom