Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time

caidah

Senior Member
Aug 17, 2017
110
152
Tofauti na movie ubora wa Tv series unapimwa na mambo mengi, ila sana sana ni namna story inavopikwa na kuweza kumshika mtazamaji episode baada ya episode, Twende moja kwa moja kwenye mada list ina majina 20 ya series ambazo zipo kwenye random order

01. Game of throne (season 8)
02.prison break (season 5)
03.breaking bads ( season 5)
04. vikings (season 6)
05. Homeland (season 8)
06. Blacklist ( season 9 ongoing)
07. Ozark (sn 4 ongoing)
08.Money heist (season 5)
09. 24 jack bauer (season 9)
10. The originals ( season 5)
11.the revolution ( season 2)
12.blindspot (season 5)
13. the last ship ( season 5)
14. peaky blinders ( season 5)
15. The walking dead ( season 11)
16.Billions (seasons 5)
17.Banshe (season 4)
18.the wire (season 5)
19.Friends ( season 11)
20.Lost (season 6)

nikumbushe ipi nimesahau, ipi unaikubali, au ipi haikustahili kuwepo kwa list.
 
bro kwangu mimi japo sijamaliza lakini series zifuatazo naona za kawaida japo si mbaya,the originals(hii nimeangalia season 1 tu), revolution,money heist (hii baada ya heist ya kwanza story imelazimishwa tu),blacklist na lost...nyingine sijaziona,nadhan ungeongeza series zifuatazo Vampire Diaries,Spartacus,Rome,Narcos,Band of brothers, Chernobyl na outlander
 
Uko vzr hasa ulipoinclude na Homeland, bt nadhan lost haikutakiwa kuwepo, it's very complicated.
 
bro kwangu mimi japo sijamaliza lakini series zifuatazo naona za kawaida japo si mbaya,the originals(hii nimeangalia season 1 tu), revolution,money heist (hii baada ya heist ya kwanza story imelazimishwa tu),blacklist na lost...nyingine sijaziona,nadhan ungeongeza series zifuatazo Vampire Diaries,Spartacus,Rome,Narcos,Band of brothers, Chernobyl na outlander

Wewe hutakiwi kabisa kutaja tv series yeyote ile kwamba ni nzuri au mbaya

Utatudanganya hujui kutambua series nzuri tena HUJUI kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Utatudanganya hujui kutambua series nzuri tena HUJUI kabisaaaaaaaaaaaaaa

Wewe hutakiwi kabisa kutaja tv series yeyote ile kwamba ni nzuri au mbaya

Utatudanganya hujui kutambua series nzuri tena HUJUI kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa
punguza mihemko ndugu yangu,relax kabisaa,hata kama una matatizo binafsi jifunze kurelax kaka.Jibu hoja kwa hoja,sema ipi hujapenda na ipi umependa,tuelimishane kwa staha.
 
Hamna mahali nimekukashifu ila naomba usichangie kaka bado huja macho ya kujua tv series kali

Utatupoteza maboya
 
Tofauti na movie ubora wa Tv series unapimwa na mambo mengi, ila sana sana ni namna story inavopikwa na kuweza kumshika mtazamaji episode baada ya episode, Twende moja kwa moja kwenye mada list ina majina 20 ya series ambazo zipo kwenye random order

01. Game of throne (season 8)
02.prison break (season 5)
03.breaking bads ( season 5)
04. vikings (season 6)
05. Homeland (season 8)
06. Blacklist ( season 9 ongoing)
07. Ozark (sn 4 ongoing)
08.Money heist (season 5)
09. 24 jack bauer (season 9)
10. The originals ( season 5)
11.the revolution ( season 2)
12.blindspot (season 5)
13. the last ship ( season 5)
14. peaky blinders ( season 5)
15. The walking dead ( season 11)
16.Billions (seasons 5)
17.Banshe (season 4)
18.the wire (season 5)
19.Friends ( season 11)
20.Lost (season 6)

nikumbushe ipi nimesahau, ipi unaikubali, au ipi haikustahili kuwepo kwa list.
Mkuu tafuta 24hrs utanishukuru.
 
Hamna mahali nimekukashifu ila naomba usichangie kaka bado huja macho ya kujua tv series kali

Utatupoteza maboya
uko too judgemental rafiki angu,inaonekana hata post yangu hukuielewa..naungana na mtoa mada kwa series nyingi sana alizotaja hapo isipokuwa chache ambazo nimeainisha na nimetaja chache ambazo naona amesahau kuzitaja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom