Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Oii niaje wadau, kwa wale wapenzi wa music wa rock & roll karibu tushee nyimbo kali za rock zilizotikisa miaka hiyo. Naanza na hii:-...
2 Reactions
14 Replies
101 Views
Huu wimbo hauchujagi, mzee aliuimba kwa hisia sana, inaelekea huyo sea alikuwa mtundu sana. Je, Sea ndiyo jina la mhusika kweli au alikuwa kamlenga manzi mwingine, je ni nani huyo aliyesababisha...
4 Reactions
22 Replies
277 Views
Wakuu, Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦‍♂️ Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na...
1 Reactions
3 Replies
132 Views
Wakuuu habari za saizi Samahani natafuta audio au video ya wimbo wa uyu dada anaitwa Christina Mbilinyi inaitwa "Asante Jehova". Lyrics zake ni kama ... Moyoo wanguu Hatuwezi kunyamaza Yake...
2 Reactions
11 Replies
76 Views
Nina muda mwingi na sina pakuupeleka kwasasa, Naombeni list ya movie au series ambayo ni addictive kuitazama, Naomba kuwasilisha
5 Reactions
17 Replies
213 Views
Naomba mwenye nyimbo hizi produced by amba/ab records atume 1. yaki ft farida we ni wangu 2. Mauza uza meckone 3. Binti maringo kk Nimeitafuta kila kona sizioni ni za kitambo Mwenye nayo...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Wana jamvi,mimi ni mdau mkubwa wa mziki wa mchiriku/mnanda. Mziki ambao ulitawala na kujizolea umaarufu mkubwa kwenye miaka ya 90 hadi 2000,binafsi nimekulia kwenye jamii yenye kuhusudu mziki huo...
16 Reactions
311 Replies
52K Views
Baada ya hivi karibuni kuangazia mchango mkubwa wa mwanamuziki Twenty Percent (20%) katika kuandika mashairi yenye mafunzo mazito kwa jamii, leo mtazamo unahamia kwenye upande mwingine wa kipaji...
6 Reactions
18 Replies
236 Views
Kama sehemu ya juhudi zake za kuunga mkono vipaji vya ubunifu na kuimarisha nafasi ya vyombo vya habari na sanaa katika kurekodi na kuwasilisha hadithi za maendeleo na mabadiliko chanya barani...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Kama unakumbuka hichi Kitu kilichokuwa kinaitwa Mume wangu Jerry Bofya hapo Down Udownload na kusikia http://likembe.net/Sounds/Mume%20Wangu%20Jerry%20-%20DDC%20Mlimani%20Park%20Orchestra.mp3...
2 Reactions
36 Replies
40K Views
KAMATA HII MLIMANI PARK ORCHESTRA Formed in 1978 by twelve musicians under the sponsorship of Tanzania Transport and Taxi Drivers' Association. Core performers included vocalists Ilassani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Waale wadau wa vinasaba tayari mwanetu kachafua hali ya hewa
0 Reactions
4 Replies
105 Views
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Afro-pop na Bongo Fleva kutoka Tanzania, Diamond Platnumz (Chibu Dangote), ameweka historia nyingine kubwa kwenye sekta ya burudani nchini Zambia baada ya kutoa shoo...
0 Reactions
2 Replies
214 Views
[Verse 1] Kila mtu anatamani maisha mazuri, nyumba yenye joto na mtu wa kusimama naye. Lakini kuna jambo linaniuma hadi leo, na wengi wanalia ndani, wakicheka nje. [Pre-Chorus] Siraha ya hatari...
3 Reactions
3 Replies
69 Views
Japo mimi na rap songs hazijaiva sana, Ila napenda sana kusikiliza 90s raps pamoja na wasanii wachache kama 1:Kanye west 2: Dax 3:xxx tentacion 4:j cole Ila muziki wa zamani hasa rap ilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
46 Views
Mtangazaji, muigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Tanzania, Idris Sultan, amepata mwaliko mkubwa wa kuwa mmoja wa washereheshaji wa msimu wa 20 wa tuzo mashuhuri za The Future Awards Africa...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Nchini Uganda, jamii ya wafugaji ya Wakaramajong inaendelea kuangaziwa kutokana na mila na desturi zao za kipekee za asili ambazo zimehifadhiwa kwa vizazi vingi. Katika baadhi ya mila za sherehe...
5 Reactions
12 Replies
251 Views
Filamu ya X-Men iliyotoka mwaka 2000 kutoka katika studio za 20th Century Fox inasalia kuwa miongoni mwa misingi mikuu iliyobadilisha kabisa mtazamo wa ulimwengu kuhusu filamu za mashujaa wenye...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
Katika karne za enzi zile, zile zamani kabisa, kitu cha thamani kilikuwa ni aidha dhahabu ama silva. Kila himaya ilijivuna kwa wingi wa dhahabu zao, utawala imara na shibe za watu. Si zaidi ya...
47 Reactions
2K Replies
524K Views
Back
Top Bottom