Nenda youtube,
Andika 'Sanura audio' na wimbo utauona chini ya Makondeko Group Musika tayari kwa kuenjoy. Mimi nimeshindwa kuupandisha humu.
Aisee ni bonge la wimbo, jamaa alikuwa anajua sana...
Habari za wikendi hii wana-JamiiForums!
Leo nimeona tukumbushane kidogo kuhusu dhahabu ya muziki wetu wa kale (Zilipendwa). Nataka tuuangazie wimbo mmoja maarufu sana unaoitwa "Nacheka Cheka...
Tukumbushane kidogo.
Kibao hiki cha Uswahilini Matola(Kosa la marehemu) kiwafikie mabaharia wote,hasa wale wa kula tunda kumasihara, punguzeni speed,upepo ni mkali,mtaangusha magari.
Punguzeni...
Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)!
Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima...
Saa tisa juu ya alama Jabir Saleh anaanza interview na gwiji Mr. Cheeks.
Sasa wale watangazaji wasiojua kuwahoji wageni kwa kiingereza wapate kujifunza kitu.
Cc Alexido jz instagram,
Seran.
Hii movie nimeangalia ni moto wa kuotea mbali. Mama mmoja. Kazi moja. Hakuna muda wa kusimama.
Mwanawe anapotekwa, Maia analazimika kukimbia katika mitaa ya London huku akifuata maagizo ya mtu...
Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.
Simulizi hii inategemea historia ya kweli ya mtumwa na...
Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua...
Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.
Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na...
Mercedes wanajua kupika watoto. Dogo ni fire. Kwa Msimu huu, wenye race 24, wamesharace 14, kati yake 8 Dogo kachukua P1, hafu 3 yuko podium (P2 au P3), kwahiyo ni race 3 tu Dogo hajashika nafasi...
Hivi ndivyo staa wa muziki nchini Harmonize alivyoshusha burudani Mkoani Kagera usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Karagwe
Na hii ni moja ya staili ya uchezaji wake ambayo imekuwa kivutio...
Wazee
Nakumbuka zamani ilikuwa naweza nikakaa saa 6 naangalia movie tu,
Yaani nilikuwa na uwezo wa kukaa kitako na kuangalia filamu mwanzo hadi mwisho bila shida tu.
Lakini siku hizi yaani...
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU).
BY ISSAI SINGANO .
(Singano jr).
DIBAJI
Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
MNENGUAJI maarufu wa Bendi ya FM Academia, Rukia Bruno (Pichani) amefariki leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam .Taarifa ya kifo zilipatakana kwa vyombo vya habari...
Habari za muda huu wana-JF!
Leo kwenye jukwaa letu la Entertainment (Burudani), nataka tuangazie kidogo tasnia ya muziki wa Dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mara nyingi...
Habari za jioni..
Naomba mnisaidie kupata wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaitwa katika njia ya injili mwenye nao VIDEO AU AUDIO aupakie hapa niuchukue..
nimeutafuta site zote naona sio clean...
Hello everyone,
I enjoy watching movies and TV series, but sometimes finding a particular movie or a complete series can be quite difficult, especially when you are looking for content from...
Wahindi ni waongo
Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.