Mchezo wa kubahatisha.

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,781
2,000
Wapendwa wangu leo nataka nianzishe mchezo ambao hauna hasara kwako bali faida.

Unachotakiwa kufanya:
Taja herufi tatu za mwanzo za majina yangu matatu.

Mfano. Japhet Michael Mbwambo unachotakiwa kufanya ni (J. M. M) ukibahatika herufi zote ntakumia vocha ya 3000/= papo hapo. Ukibahatika herufi mbili 2000/= na herufi moja kwa 1000/=.

Sio kwamba natania mwenye kubahatika ni hapa hapa hakuna siri.

Vocha hii ni kwa ajili ya watu watatu wa mwanzo watakao reply ujumbe huu.
 
Songa Heri

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,705

A E J
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,960
2,000
A K
HAYA NIPE BUKU MBILI ZANGU HERUFI HIZO NIVIFUPISHO VYA HAO HAPO KWENYE PICHA YAKO
 
Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,781
2,000
Naona hamkua serious ila ningetimiza ahadi jibu iwapo kama ungetaja japo herufi moja tu nisingekua mchoyo wa hili. Jibu rasmi ni B.O.Z.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom