kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,277
- 16,227
Wakati wasanii wakipanda majukwaani na suti kuimba wale wenzao wa kike wanapanda majukwaani vitovu, matiti, mapaja na chupi njenje, hii inasababishwa na nini? Kitu gani kimepungua kwa wasanii wa kike hadi watamani kupanda jukwaani wakiwa watupu?