mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 426
- 251
Wakuu,salaamu kwenu. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa riwaya pamoja na hadithi zinazo letwa humu Jamii Forum.
Kwa muda sasa nimekuwa natafakari ninamna gani tunaweza kufanya au kuitumia ili kuwa saidia watunzi wetu au wanao leta hizi riwaya waweze kuzimaliza kwa wakati badala ya kusababisha arosto ya muda mrefu kwa wapenzi na mashabiki wa hadithi na riwaya ambazo wanatuletea.
Je tuwape hela, tuwape vyeo, tuwape upendeleo, tuwaabudu na kuwatukuza, wapate bani, nini kifanyike ili kupunguza hii kero ya kutomaliza riwaya au simulizi zinazoletwa!
Au viongozi na wahariri kabla riwaya au hadithi na simulizi hazijaletwa kwenye jukwaa muhakikishe mmeipitia yote halafu ninyi ndiwe mnaposti kila inapobidi lakini mtunzi anakuwa tayari ameshaimaliza yote.
Utakuta mtu analeta makala nzuri au simulizi tamu kweli ila sasa mpe wiki tatu tu ni arosto kwenda mbele mateso tu! Mpaka wakati mwingine unakufuru hivi huyu ameleta hii hadithi ili apate umaarufu au!
Niwapongeze The Bold pamoja na Ibra Mzee wa nitakupata tu! Hawa watu kiukweli wanajitahidi sana, The Bold pongezi kwako.
Ila hawa wafuatao ni shida aise kwanini mtutese hivi ; Eba -kikosi cha kisasi, Kichakaa man-am not a doctor, LEGE -Queen Monica, Seidbinsalim -sihitaji kurudi niliko toka, Shamac -Noti bandia ,Steve Mollel-Njia nyembamba ,Mjukuu wa chifu -Gamboshi. Jamani ninyi ndugu zangu nawaombeni sana mtusaidie msitufanyie hivi.
Sifahamu simulizi ya paniela ilichukua muda gani ila ni miongoni mwa simulizi niliyo imaliza toka nimeanza nilifika tamati bila shida, pia Vipepeo weusi niliimaliza bila shida.
Ubarikiwe mtunzi wa Riwaya duka la roho umefanya vizuri siyo dhambi endapo utatuletea part two yake, mtzmweusi.
Mwisho mtanisamehe Kwa niliye mkwaza kutokana na hili bandiko langu, sina nia mbaya lengo ni kuona ninamna gani tunaweza kufanya kwa pamoja kati Fanani na Hadhira. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki jamii forums.