Tamthilia ya 'Isidingo the Need' itaisha lini?

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Kati ya vitu ambavyo vimelingana (rika) na TV ya mzee wangu pale nyumbani ni hii tamthilia ndefu kuliko zote ulimwenguni.

Mimi najuuliza itaisha lini? Maana mimi nazeeka na yenyewe ndio kwanza inadunda mithili ya nyoka aliye jivua magamba leo.
 
Isidingo imepitisha miaka 50?

Naona imeanza 1998 tu.

Kuna series kama "As The World Turns", "General Hospital" na "Days of Our Lives" zina zaidi ya miaka 50.
 
Jana nilimuona Sukhumbuzo kwenye Studio za ITV sina shaka Management ya ITV ina uwezo wa kumkaribisha script writer kuja kutembelea Tanzania. Jamaa huyo ni mbunifu sana, Tanzanians gotta lot 2 learn kutoka kwake.
 
Isidingo imepitisha miaka 50?

Naona imeanza 1998 tu.

Kuna series kama "As The World Turns", "General Hospital" na "Days of Our Lives" zina zaidi ya miaka 50.

Ni kweli, je hii tamthilia ya Uingereza ya Eastenders nayo miaka imekatika sana bila kusahau tamthilia ya 'Neighbour' ya Australia/Downunder.
 
Kabla sijazaliwa hii tamthilia ipo nanyonya bado ipo inaendelea nasoma standard 1 bado inaendelea nafika miaka 10 bado haijamaliza sasa najiuliza watu wake hawazeeki na wameanza kucheza mwaka gani mpaka tamthilia iyo isiyo kwisha nimefika age ya miaka 20 ndokwanza bado sasa najiuliza hii nn jamani wadau
 
Back
Top Bottom