Wimbo wa Komba, CCM NO 1 huu apa

Wimbo wa Komba, CCM NO 1 huu apa

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
890
Reaction score
1,511
Hello wadau, kuna watu walikuwa wanautafuta sana wimbo wa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NO 1, nimebahatika kuupata ni huu apa, Usisahau kusubscribe hannel yetu kwa Nyimbo adimu.

Weka na zile alizoimba kipindi cha kifo cha Nyerere.
 
Weka na zile alizoimba kipindi cha kifo cha Nyerere.
Msaidie Kuanzisha Mada ya aina hiyo... acheni aina hii ya Uchangiaji Mada. Huwezi changanya Msiba na Sherehe...
 
Msaidie Kuanzisha Mada ya aina hiyo... acheni aina hii ya Uchangiaji Mada. Huwezi changanya Msiba na Sherehe...
Msiba uko Wapi sasa nyie ndyo wale mnaoshikilia dhana kwamba marehemu hasemwi

Tena ajaze zingne na za kifo cha bashite kama zipo bila kumsahau sizonje
 
Tuma na ile kali kuliko
"Wacha waisome namba eeh ma....a wale CCM mbele kwa mbele"
 
Back
Top Bottom