ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,260
Natarajia kusafiri next week niltarajia ningesafiri na na private car lakini haitawezekana maana gari imepata matatizo kidogo, ivyo basi kama kuna mtu anayetaka kusafiri kutoka Dar kwenda bkb na gari lake,, na anahofia kuendesha peke yake njiani coz hii ni safari ndefu more than km 1530. basi anichek inbox pm ili tuyajenge namaanisha tupange siku ya safari mimi nitaendesha gari yani nitamuendesha mpaka bkb nina uzoefu wa kutosha Now ni mwaka wa tano nafanya izi safari kwa walio Serious mnipm siitaji malipo