HIVI NI KWANINI VITUO VYA EAST AFRICA RADIO NA TV (Channel 5) HAVIPIGI NYIMBO ZA MSANII DIAMOND PLATINUM??

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
3,538
2,000
Habari JF.

Leo naomba kujuzwa hili jambo kuhusu nyimbo za msanii Diamond Platinum kutokupigwa katika vituo hivi vya EA Radio na TV (Channel 5)

Nauliza haya baada ya kufuatilia kwa muda nimeshangazwa na hili la hata wasikilizaji wa vituo hivi nao huwa hawa ombi kabisa nyimbo hizo kupigwa (naongelea wale wakupiga simu wz sms sina hakika labda hazisomwi)

Naomba kujua ni kwamba Msanii Diamond Platinum haitaji promo ya vituo hivi au ni kuwa vituo hivi haviitaji kumpa promo msanii huyu?

Niliwahi kusikia kuwa eti msanii huyu ana tatizo na boss wa Ipp ndio maana nyimbo zake hazichezwi hivyo vituo viwili ys EA Radio na Tv, binafsi hili nililikataa na ninazidi kulikataa kwani nyimbo za msanii huyu zinapigwa kwenye vituo vingine vilivyo chini ya Ipp mfano Capital Radio, Radio One na ITV, sasa bado sijajua kwanini EA Radio na Tv hawapigi nyimbo zake.

Mwenye majibu au jibu kwa hili abaweza nijuza jambo.


Asanteni.
 

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
3,274
2,000
Diamond nae kazid kuwagegeda!! Labda alishamgegeda Mrs naniliu ndo maana mzee akapiga ban masong yake
 

ngoroki

Senior Member
Jun 7, 2015
154
225
Nimesikia ukubwa wa mdomo wake ndio tatizo inaonekana amefanana na katuni ya chai jaba
 

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,390
2,000
Kwani diamond ndil msanii pekee ulimwenguni nyimbo zake zipigwe sana EATV&RADIO? mna maneno kama watoto wa kike aisee.
 

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
3,538
2,000
Kwani diamond ndil msanii pekee ulimwenguni nyimbo zake zipigwe sana EATV&RADIO? mna maneno kama watoto wa kike aisee.

Bila shaka wewe ni mtu mmoja mwenye wivu sana, ila wivu ni tabia mbaya ndugu yangu. Ipigwe ata moja basi tujiridhishe kuwa hivyo vituo vinatambua uwepo wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom