Muziki wa Tanzania Utashuka Thamani

Muziki wa Tanzania Utashuka Thamani

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,664
Kwa ile amri ya mkuu wa nchi kuhusu mavazi ya heshima kwa wacheza muziki mimi natabiri muziki wa bongo utashuka thamani yaani mashabiki wa kuangalia video zake watapungua.
Maana hakuna cha maana watu walikuwa wakikiangalia bali ni mavazi ya nusu utupu na matiti yaliyopigwa jeki na sidiria za kisasa.
Wenye uwezo wa kudownload video hebu chekini ule muziki wa mwnamuziki Darasa mtamwona yule dada alivyo nusu uchi mpaka mchukua video alishindwa ku edit..
 
Wavae mablauz mareeefu na sketi ndeeefu, tutanunuatu.

Tunataka maadili full stop.
 
Kwa ile amri ya mkuu wa nchi kuhusu mavazi ya heshima kwa wacheza muziki mimi natabiri muziki wa bongo utashuka thamani yaani mashabiki wa kuangalia video zake watapungua.
Maana hakuna cha maana watu walikuwa wakikiangalia bali ni mavazi ya nusu utupu na matiti yaliyopigwa jeki na sidiria za kisasa.
Wenye uwezo wa kudownload video hebu chekini ule muziki wa mwnamuziki Darasa mtamwona yule dada alivyo nusu uchi mpaka mchukua video alishindwa ku edit..
ipi hiyo?
 
KUANZIA LEO WACHEZA MUZIKI WOTE WA KIKE KUVAA MAGAUNI YANAYOFUNIKA HADI ARDHI, KUFUNGA VITAMBAA KICHWANI NA HAKIKISHENI MMEJIFUNIKA VITENGE. OH! NILITAKA KUSAHAU! HAKUNA KUKATIKA VIUNO, CHEZENI MKIWA MUMENYOOKA KABISA!
 
Back
Top Bottom