Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 30,010
Mim si mpenzi wa Nigerian Movies na hata kwa bahat mbaya huwez kunikuta naziangalia hizi movie
Ila kuna Movie moja inaitwa 76 Imecatch my attaention kwanza kwa wahusika wa hyo Movie pia theme yake kuhusiana na maswala ya kijesh na Vita kwa Ujumla.
Nmejaribu kuitafuta kwa muda mrefu sana na kwa Link Mbali mbali ila naishia kupata Trailers zake tu na sio Complete Movie.
Kwa wadau na wapenzi wa Nigerian Movie kama kuna mtu ana Link Cd VHS au namna yoyote ile ambayo naweza kupata hii Movie ntashukuru nikisaidiwa hilo.