Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Hebu sikiliza kwa makini hii kitu, then kumbuka ulikuwa wapi enzi hizo. acha kabisa haya mambo.
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Baada ya uzinduzi Mtwara sasa Mkurugenzi wa WCB > Screenshoti: RATIBA YA WASAFIFESTIVAL.HII HaPa
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Producer na Msanii Mike WiLL Made It akiwa na msanii Trouble wakitambulisha album yao mpya ya #Edgewood kwenye redio moja USA wakaulizwa na mtangazaji wanahisi nani ni muanzilishi wa Trapp Music...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
MIKE TEE ____________ Wengi wanamjua kwa jina la Mnyalu, Mike Tee, The Dangerous Emcee ila jina lake kamili ni Mike Francis Mwakatundu. Mike Tee alianza kuimba mwanzoni wa miaka 1990. Mike Tee ni...
4 Reactions
9 Replies
388 Views
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bìèn!. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu...
56 Reactions
3K Replies
747K Views
Kwa mtazamo wangu huyu jamaa alichangia kwa kiasi kikubwa ktk fani ya bongo fleva. Bahati mbaya haongelewi sana pamoja na kuwatengenezea 'mental' wasanii wengi wa mwanzo mwanzo wa muziki huu kabla...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Hawa wote Wana asili ya uzungu uzungu, Kila mmoja alitengeneza hits nyingi, Ila pfunk alikuwa akisaidiwa na bizman kwa Sana , Sasa he Nani Alikuwa Mkali zaidi, nimesahau track nyingine lakini hizi...
9 Reactions
114 Replies
12K Views
Wakuu mambo vp ningependa kujua migration kibaha ipo maeneo gani na taratibu zake zipo vp mpaka kupata passport pamoja na garama zake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ilivyo Katika michezo mingine ya Maigizo Kama vile Film, Pia mchezo huu wa Mieleka ni Maigizo so kweli unacho ona hapo ni 100% ukweli hapana. Michezo hiyo hua imeandaliwa kua pambano hili...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Chanel E-Africa huwa wanaonesha siku gani mieleka laivu?
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Hivi kuna tatizo gani msanii akidownload beat na kurekodia nyimbo?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja kwenye point. Kwasasa hapa Tanzania nyimbo mbili toka wasanii wa Mbeya ndio zinazotakiwa kupewa Tuzo. Pia Midundi hii inastahili kuwa muziki unaoitambilisha Tanzania. 1...
1 Reactions
4 Replies
392 Views
1. Wherever You Are By (Jay Z) 2. Forever Young By (Jay Z) 3. Bonnie & Clyde By (Jay Z) 4. Run This Town By (Jay Z) 5. My Life By (The Game) 6. Life Goes On By (2pac) 7. I Roll Up By (Wiz...
5 Reactions
162 Replies
15K Views
Muziki wa Bongo unakaribia Miongo miwili sasa, wanamuziki wengi pamoja na maproducer wamechangia muziki huu kufika ulipo sasa, ifuatayo ni orodha ya midundo mikali zaidi katika historia ya Muziki...
3 Reactions
113 Replies
40K Views
Mashabiki wa mpira wa miguu hukumbwa na kimuhe muhe wakati mtanange ukiwa unaendelea ambapo mmoja wapo ni kile kitu kinaitwa MIDADI. Je una kumbukumbu ya tukio lolote la midadi ulilolipataa...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
MICHIRIZI YA DAMU 01- Nyemo Chilongani GIZA, Misri Zilisikika kelele kutoka ndani ya piramidi moja lililokuwa katika Mji wa Giza uliokuwa nchini Misri. Watu waliokuwa humo ambao asilimia kubwa...
25 Reactions
3K Replies
210K Views
Moja kati ya michezo itakayoacha tabasam kwenye sura yako ni kama ilivoelezwa kwenye link hii bit.ly/1iy9g7c
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Wakati huo tulipokuwa tunasoma msingi miaka ile ya 80 kulikuw na michezo maarufu sana mashuleni na nje ya shule, nakumbuka kila shule ilikuwa na kikundi cha sarakasi ambacho kingeweza kwenda hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom