Mashabiki wa mpira wa miguu hukumbwa na kimuhe muhe wakati mtanange ukiwa unaendelea ambapo mmoja wapo ni kile kitu kinaitwa MIDADI.
Je una kumbukumbu ya tukio lolote la midadi ulilolipataa kulishuhudia live UWANJA WA TAIFA ama popote pale wakati kabumbu likiwa linasakatwa?