Midundo (Beats) kali zaidi kwenye historia ya Bongo Fleva

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,051
Muziki wa Bongo unakaribia Miongo miwili sasa, wanamuziki wengi pamoja na maproducer wamechangia muziki huu kufika ulipo sasa, ifuatayo ni orodha ya midundo mikali zaidi katika historia ya Muziki wa Bongo(maoni yangu)....

Kama kutakuwa na mwenye maoni tofauti aweke hapa tupate orodha itakayokubalika na wengi zaidi...

1. MIKASI...Albert mangwea... Produced by "P Funk".. Bongo Records.

2. MWANZA..... Fid Q.... Produced by "P Funk"... Bongo Records

3. Kibanda cha simu.. Soggy Doggy.... Produced by "P funk"... Bongo Records

4. Bongo Dar-es-salaam..... Prof J..... Produced by " Master J"... Mj Records

5. Perfume.... Joslin... Produced by "Master J"... Mj Records

6. Nitoke vipi.. Bwana Misosi...Produced by "P Funk "... Bongo Records.

7. Pwaa.. C Pwaa.. Produced by "Lucci"

8.. Mnataka nini(Mistari).. Black Rhyno

9. Don Bother.... Joh makini... Produced by "Nahreel"... The Industry.

10. Number 1... Diamond Platnumz... Produced by "Shedy clever"
 
Hii list nimeipenda sanaa...

Mwanzo wakati naanza kusoma hii list nikasema mbona mkuu ana post hizi old ambazo ni Gold...
Bt baada ya kufika hapo kwa Joh ikanibidi nikubaliane na list yako.. Wacha tusubiri wengine
 
Mi Ni hizi zangu
1. Nimekubali- mez b na temba
2. Inawezekana wewe ungekuwa wangu (Sina hakika Sana juu ya jina la wimbo)- d knob na Rey c
3. Dhahabu kariakoo- dully, joselyn na blue
MAPRODUCER SIWAJUI ILA NIKISIKIA HIZI BEATS ZA HIZI NYIMBO NIKISHINDWA KUCHEZA KWA KUTINGISHA KICHWA BASI HATA MGUU UTACHEZA KISIRISIRI
 
Mi Ni hizi langu
1. Nimekubali- mez b na temba
2. Inawezekana wewe Ni kifaa(Sina hakika Sana juu ya jina la wimbo)- d knob na Rey c
3. Dhahabu kariakoo- dully, joselyn na blue
MAPRODUCER SIWAJUI ILA NIKISIKIA HIZI BEATS ZA HIZI NYIMBO NIKISHINDWA KUCHEZA KWA KUTINGISHA KICHWA BASI HATA MGUU UTACHEZA KISIRISIRI

Sawa mkuu... wanaokumbuka maproducer watakuja
 
Mimi mpaka zama hizi Midundo 10 bora kwangu ni hii:

1. Baab Kubwa - Planet 2000 - P Funk

2. Nini Mnataka Mazee - Pig Black - P Funk

3. Hili Game - Juma Nature - P Funk

4. Sitaki Demu - Juma Nature - P Funk

5. Game - Navy Kenzo - Nahreel

6. Kamatia Chini - Navy Kenzo - Nahreel

7. Mtazamo - Afande Sele, Prof J, Solo Thang - P Funk

8. Chemsha Bongo - Hard Blasters - MJ Records Prof Ludigo (?)

9. Bongo Dar es salaam - Prof J ft Jide - P Funk

10. Number 1 Remix - Diamond Platnumz ft Davido - Shedy Clever
 
Nyingine

Kamatia chini - producer Nahreel

She got a gwan ya ngwair - prd P funk

Kama unataka dem wa J moe - prd P funk

Chagua moja wa Fid q prd P funk

Nikupe nini wa Man dojo na Domokaya - producer P funk

Nini mnataka mazee wa Pig black - Producer P funk

Mshkaji mmoja hivi wa Joslin - prd Master j

Jirushe wa Ferouz - prd P funk

Kiss kiss wa Mr. blue - Prd G love

Baki na mimi wa Mr. Blue - prd Dunga

Chochote popote wa Joh makini

Fid q.com wa Fid q
 
Hili Game-Sir Nature
Mikasi-Late Albert M
Raha tu(original version)-AY
Hata nikiwa na malaria nikisikia hiyo midundo hakika lazima nitingishike na nahisi kupona salute kwa P.Funk na Mcees waliozitendea haki hizo beats.
 
1.jay moe_ kama unataka dem
2. domo kaya_nizikwe hai
3. MB doggy _ si uliniambia
4. ditto ft afande sele _ dunia inamambo
5. juma natura _ kisa dem
6. prof jay _ nikusaidiaje
7. ferooz _ starehe
8. ngwair _ she got gwan (sijui kama jina nipo sahihi)
9. cpwaa _ problem
10. dudu baya _ nakupenda mpenzi :)
 
Mimi mpaka zama hizi Midundo 10 bora kwangu ni hii:

1. Baab Kubwa - Planet 2000 - P Funk

2. Nini Mnataka Mazee - Pig Black - P Funk

3. Hili Game - Juma Nature - P Funk

4. Sitaki Demu - Juma Nature - P Funk

5. Game - Navy Kenzo - Nahreel

6. Kamatia Chini - Navy Kenzo - Nahreel

7. Mtazamo - Afande Sele, Prof J, Solo Thang - P Funk

8. Chemsha Bongo - Hard Blasters - MJ Records Prof Ludigo (?)

9. Bongo Dar es salaam - Prof J ft Jide - P Funk

10. Number 1 Remix - Diamond Platnumz ft Davido - Shedy Clever
Braza hii yako kali zaidi.. Hizo ngoma hapo zote Ni Za moto tena! Ungeongezea Na Promota/simu p funk
 
Muziki wa Bongo unakaribia Miongo miwili sasa, wanamuziki wengi pamoja na maproducer wamechangia muziki huu kufika ulipo sasa, ifuatayo ni orodha ya midundo mikali zaidi katika historia ya Muziki wa Bongo(maoni yangu)....

Kama kutakuwa na mwenye maoni tofauti aweke hapa tupate orodha itakayokubalika na wengi zaidi...

1. MIKASI...Albert mangwea... Produced by "P Funk".. Bongo Records.

2. MWANZA..... Fid Q.... Produced by "P Funk"... Bongo Records

3. Kibanda cha simu.. Soggy Doggy.... Produced by "P funk"... Bongo Records

4. Bongo Dar-es-salaam..... Prof J..... Produced by " Master J"... Mj Records

5. Perfume.... Joslin... Produced by "Master J"... Mj Records

6. Nitoke vipi.. Bwana Misosi...Produced by "P Funk "... Bongo Records.

7. Pwaa.. C Pwaa.. Produced by "Lucci"

8.. Mnataka nini(Mistari).. Black Rhyno

9. Don Bother.... Joh makini... Produced by "Nahreel"... The Industry.

10. Number 1... Diamond Platnumz... Produced by "Shedy clever"
Kwa kuwa hujaiweka ya pig black nini mnataka mazee ! Basi nasema hiyo list yako hajatimia..
 
Mimi mpaka zama hizi Midundo 10 bora kwangu ni hii:

1. Baab Kubwa - Planet 2000 - P Funk

2. Nini Mnataka Mazee - Pig Black - P Funk

3. Hili Game - Juma Nature - P Funk

4. Sitaki Demu - Juma Nature - P Funk

5. Game - Navy Kenzo - Nahreel

6. Kamatia Chini - Navy Kenzo - Nahreel

7. Mtazamo - Afande Sele, Prof J, Solo Thang - P Funk

8. Chemsha Bongo - Hard Blasters - MJ Records Prof Ludigo (?)

9. Bongo Dar es salaam - Prof J ft Jide - P Funk

10. Number 1 Remix - Diamond Platnumz ft Davido - Shedy Clever
Hii ndio list sasa..
 
Jiachie - Chidi Benz

Niaje ni vipi - Joh makini

Aseme - Q chief
 
Kama vipi - Mez b

Bata kila sehem - Ngwair

Sifa za kijinga - Mkoloni

Maisha ya boarding - J moe

Nakupenda - Mike t ft Nature
 
Hakuna kulala - Juma nature prd P funk

Radhia - Dollo ft Juma nature prd P funk

Nampenda yeye - Temba prd P funk

Ndio zetu - Wanaume tmk producer P funk

Mtoto wa geti kali - Inspector haroun

Bye bye - Inspector Haroun

Sikio la kufa - watengwa

Mambo vipi - Mchizi mox

Nipo busy - Jafarai
 
Mi Ni hizi zangu
1. Nimekubali- mez b na temba
2. Inawezekana wewe ungekuwa wangu (Sina hakika Sana juu ya jina la wimbo)- d knob na Rey c
3. Dhahabu kariakoo- dully, joselyn na blue
MAPRODUCER SIWAJUI ILA NIKISIKIA HIZI BEATS ZA HIZI NYIMBO NIKISHINDWA KUCHEZA KWA KUTINGISHA KICHWA BASI HATA MGUU UTACHEZA KISIRISIRI
mkuu ungeongezea understand ya lady jay dee ft tid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom