Mieleka ni moja ya michezo ya Maigizo

Emmanuel Kasomi

Verified Member
Sep 3, 2014
4,776
2,000
Kama ilivyo Katika michezo mingine ya Maigizo Kama vile Film, Pia mchezo huu wa Mieleka ni Maigizo so kweli unacho ona hapo ni 100% ukweli hapana.

Michezo hiyo hua imeandaliwa kua pambano hili litahusu ushindi wa mtu flani na hapo litakua controlled na referees.

Je, unajiuliza kwa nini mtu flani ashinde na Mwingine kushindwa? Hapo hupangwa Mara nyingi washindi wa mpambano hua ni watu wanao kubalika/wenye mashabiki wengi, hapa ndo utawapata Watu Kama akina John Cena, The Undertaker, Yes Yes na wengine.

Ila si ajabu mwanamieleka mchanga kumpiga mzoefu hapo Ni kuwashangaza mashabiki. Ila wanamieleka hua Ni well trained kufanya hivyo ndo maana wana perform vizuri.

Japo kuna Baadhi ya matukio ni real ila hayo hua yanaandaliwa kuwa wakati flani tukio lipi litokee na hua kuna Hadi madirector kwenye mchezo hua ndo maana hua wanatoa Warning kwa kusema DON'T TRY THIS AT HOME
 
chezo

Senior Member
Oct 19, 2012
170
250
unataka kuniambia wanaigiza kama bongo movie? hapana. hivi unajuan wapo wanaofia ulingoni? ama kuvuja damu sema huwa hawaonyeshi? kipindi kile cha Macho men yule alikuwa na akili za kuigiza?
 
Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,714
2,000
Ndio unayajua haya kwa sasa ndugu mleta uzi?
Hii ipo wazi, wacheza mieleka wote hufuata maagizo ya referee baada ya wapiganaji wenyewe kuwa tayari wameshakaa meza moja! Ukitazama kwa umakini wakati wanapambana utaona live kabisa refa akitoa maagizo kuwa mara kaza, panda juu kwenye kamba n.k
Zile roba wanazokabana si za kweli, wana act tu! Ndio maana si rahisi wengi kuumia!
Anayeumia ni kwa bahati mbaya, ama kukosea masharti ya mchezo au kutozingatia kwa ufasaha maagizo ya marefa( mara nyingi huwanong'oneza). Kwa kifupi ndio maana hauwekwi kama sehemu ya michezo inayotambulika na rika zote! Ni entertainment ile!
 
chezo

Senior Member
Oct 19, 2012
170
250
unataka kuniambia wanaigiza kama bongo movie? hapana. hivi unajuan wapo wanaofia ulingoni? ama kuvuja damu sema huwa hawaonyeshi? kipindi kile cha Macho men yule alikuwa na akili za kuigiza?
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
14,632
2,000
Kama ilivyo Katika michezo mingine ya Maigizo Kama vile Film, Pia mchezo huu wa Mieleka ni Maigizo so kweli unacho ona hapo ni 100% ukweli hapana.
It is obvious kwamba ile ni show, haukuwa hata na haja ya kuanzisha uzi
 
Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,327
2,000
Sema umeling'amua hili kwa kuchelewa ila sio mbaya.. karibu home of great thinkers!
 
Emmanuel Kasomi

Verified Member
Sep 3, 2014
4,776
2,000
unataka kuniambia wanaigiza kama bongo movie? hapana. hivi unajuan wapo wanaofia ulingoni? ama kuvuja damu sema huwa hawaonyeshi? kipindi kile cha Macho men yule alikuwa na akili za kuigiza?
Mchezo huo sio real ni Acting
 
Miguel Alvarez

JF-Expert Member
May 28, 2019
388
500
Kuna staili ya kuruka juu ya kamba kisha kutua kwenye kifua cha mpinzani au kupigwa na kiti alafu kiti kinapasuka 😀 nilikuwa najiuliza sana sipati jibu,kumbe wanaekti tuu 😁😁 kweli don'nt try at home
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom