Professor Jay ni kichwa katika mashairi ya wimbo wa Nang'atuka

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,481
Points
2,000

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,481 2,000
Muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania,

Mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa,

Tangu nilipoomba kura kwenye Ndio Mzee!

Mkanipa na kusababisha Uchumi Ulegee,

Kura zikawa kula nikaiba kwa milungula,

Taratibu nikaanza kubadili mfumo na sura,

Nasisitiza sana maswala ya ajira,

Kumbe uongo, nikaanza kugawa vyeo kwa ukabila,

Hata washauri wangu niliweka mataahira,

Na kusababisha uongozi wangu kupoteza dira,

Nikaona bora uongozi na si uongozi bora,

Na kila aliyenizidi kwa mali nilimpora,

Mambo yote muhimu niliweka ya mwisho,

Na kuwa muumini mzuri wa Mauaji na Vitisho,

Mtu asiyeshindwa katika jambo lolote,

Daima nitapata chochote katika muda wowote.

My take:

Kilichomo humo kinaishi hadi sasa wabunge 100 wa ccm ni sawa na mbunge mmoja wa ukawa kwa fikra basi tu uchama unaliangamiza Taifa hili hapo hujasogea kwa kamanda Lissu.
 

Ndalilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
999
Points
1,000

Ndalilo

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
999 1,000
Inawezekana ila........kung'atuka? Si msamiati uliopo kwenye kamusi yetu, pengine tutapeleka mswaada mjengoni kuona utaratibu wa kuusajili na kuanza kujifunza kuutumia.....itatuchukua miezi 72 kukamilisha mchakato, muwe wavumilivu!
 

Forum statistics

Threads 1,389,845
Members 528,040
Posts 34,035,851
Top