Riwaya - Kilimanjaro

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
Utangulizi

Ni riwaya inayohusu mkoa wa Kilimanjaro Na Tanga kujiunga pamoja Na kujitenga Na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Riwaya hii Ni ya kubuni Na lengo Ni kuburudisha tu wasomaji wa Jamii forum

Inawezekana WAKATI wa kuandika maudhui ya riwaya hii yapo matukio yanayofanana Na kinachoendelea kwa sasa kwenye medani za kiuchumi,kisiasa Na kijamii

Ieleweke kuwa lengo la mtunzi Ni kuburudisha Na kuelimishana masuala mtambuka yanayoendelea Na yanayoweza kutokea hapa kwetu! Yapo maudhui yanayoweza kujenga Na yapo yanayotaka tuepukane nayo ili kujenga Taifa imara la jamii yenye upendo isiyokuwa Na matabaka Na pia yenye watu wazalendo Na wanaoamini kujenga Taifa lao kwa misingi ya kuheshimiana Na kuaminiana(upendo)

Kwenye riwaya hii Kilimanjaro Ni Taifa la kufikirika! Halipo ila majina ya maeneo yatakayotajwa humu riwayani yapo kweli lkn kwa vyovyote vile hayahusiani Na maudhui yaliopo humu

Mtunzi wa riwaya hii anaitwa Abrahmani Kabewa naomba mumpokee Na kumtia moyo kwani hii Ni riwaya yake ya kwanza kuiweka kwenye hadhira kubwa namba hii!

Natanguliza shukran za dhati

......... Riwaya is loading
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom