Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,658
Kwa Taarifa yako huu wimbo uliimbwa kwa mara ya kwanza na SITTI BINT SAAD ukaja kuimbwa tena na ISSA MATONA ukaimbwa tena na BI KIDUDE pia ukaja kuimbwa tena na NASMA HAMISI KIDOGO hivi karibuni umekuja kuimbwa na ASLAY na NANDY

