Najua wakongwe wa Bongo Flavor humu watanisaidia jina la huu wimbo na aliyeimba

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,584
Chorus
"Ananipenda me,ninampa anachotaka ,ananipenda me."

Kuna verse kachana Jafarai wa Kutoka wateule

Msaada tutani wakuu
 
Nimeukosa huu mtandaoni ni wa Jafarai ft Banana -Ananipebda
 
Nimeukosa huu mtandaoni ni wa Jafarai ft Banana -Ananipebda
 
Back
Top Bottom