Manyawera
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 567
- 1,110
Muandishi na muongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani, kijana mweusi Bw. Ryan Coogler akishirikiana na muigizaji Michael B Jordan. Wamekuja na wazo la kutengeneza filamu itakayohusu maisha ya mfalme maarufu na tajiri kutoka Afrika Mansa Musa. Coogler na Jordan wamekuwa wakifanya kazi pamoja toka 2013. Kazi yao ya kwanza pamoja ilikuwa Fruitvile Station, ikafuatiwa na Creed na hivi punde walifanya kazi pamoja katika filamu ya Black Panther.
WADAU WA FILAMU HII MNAIONAJE??
WADAU WA FILAMU HII MNAIONAJE??