Mwatulole
Member
- Oct 16, 2017
- 55
- 194
Kiukweli mwanzoni nilikuwa nafikili ni maneno ya mtandaoni, Kuwa wasafi wametofautiana na clouds media, Kuwa ni ya kizushi lkn kadli siku zinavyo songa mbele binafsi nimeamini sasa, Baada ya kutosikia nyimbo yoyote kutoka kwenye Lebo ya Wasafi kutopewa airtime kwenye media hiyo na kwa hali hiyo imenifanya nisi isikilize radio yao ambayo imekuwa na ubaguzi, Kweli tofauti hizo tu zinatufanya sie wasikilizaji pia tuwajibishwe kwa tofauti zao kwa kutowasikia wasanii wa nchi hii nyimbo zao zikikosa kupigwa hewani.