Tanzania katika TV series kali duniani

Tanzania katika TV series kali duniani

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,018
Nchi yetu kumbe inatambulika na kukubalika duniani. Nimefarijika kuona jina LA Nchi yetu linatajwa katika T.V SERIES kali kama ARROW na AGENTS OF THE S.H.I.E L.D. Bila shaka siku moja tutapata actors na actresses washiriki kwenye hizi series.
 
Episode ya ngapi Nchi yangu imetajwa? Ilo series ni tamu sana mkuu

Season three sikumbuki episode Mkuu .nipo nimekaa naangalia Agents s1ep3 nkasikia wanataja Tz ndio ntaona kumbe nchi yetu inapendwa.
 
intelligence season kuna sehemu mzee anasema "hakuna matata" inafurahisha, the big bang theory season 4 ep 19 kuna sehemu emmy anaongelea tanzanian chipanzee
 
hata series ya Covert Affairs, walikuwa wanazungumzia kuhusu cable za CIA East Afrika zilizopo Tz
 
kuna movie moja ya kihindi siikumbuki jina, ajay anaongea kiswahil kabisa
 
Kuna movie pia ya Angelina Jolie walitaja arusha tanzania
 
Season three sikumbuki episode Mkuu .nipo nimekaa naangalia Agents s1ep3 nkasikia wanataja Tz ndio ntaona kumbe nchi yetu inapendwa.

Kuna moja mpya inaitwa BRINK season 1 episode 4 au 5, inatajwa, mbona nyingi tu, kuna 1 inaitwa OZ ambayo prison break walicopy na kupaste hiyo jamaa anaulizwa ukimaliza kifungo chako utaenda wapi jamaa kapiga in morogoro, somewhere in africa, siku hizi ni nyingi tz wanaitaja na hasa hizi mpya mpya ndo sana, kuna mpya nyingine inaitwa zoo epised kama 4 wanataja serengeti in tanzania,
 
Nchi yetu kumbe inatambulika na kukubalika duniani. Nimefarijika kuona jina LA Nchi yetu linatajwa katika T.V SERIES kali kama ARROW na AGENTS OF THE S.H.I.E L.D. Bila shaka siku moja tutapata actors na actresses washiriki kwenye hizi series.

Sasa mtaelewa kwanini Kikwete alienda Hollywood.
 
Kuna moja mpya inaitwa BRINK season 1 episode 4 au 5, inatajwa, mbona nyingi tu, kuna 1 inaitwa OZ ambayo prison break walicopy na kupaste hiyo jamaa anaulizwa ukimaliza kifungo chako utaenda wapi jamaa kapiga in morogoro, somewhere in africa, siku hizi ni nyingi tz wanaitaja na hasa hizi mpya mpya ndo sana, kuna mpya nyingine inaitwa zoo epised kama 4 wanataja serengeti in tanzania,

Aisee hiyo ZOO inahusu nini Mkuu?
 
Aisee hiyo ZOO inahusu nini Mkuu?

A young scientist searches to find out what's causing a rash of violent animal attacks.
Violent animal attacks upon humans are occurring all over the world. Jackson Oz, an American zoologist who offers safaris in Africa, begins to notice the animals' strange behavior and takes it upon himself to solve the reason why before these attacks become more coordinated and ferocious.

hayo ndo maelezo yake nimeyagoogle, copy na paste
 
Back
Top Bottom