Kulikoni kila 'Bongo movie' ni lazima iwe na kijipande ya mapenzi ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Sijawahi kuangalia movie yote ya Kibongo bila kuona kipande cha mapenzi . Maajabu sana !

Tunashindwa kuangalia na watoto na mama mkwe aisee !

Mbaya zaidi vipande vyenyewe wanavyoigiza wanatuonesha kabisa sehemu za sahihi la kuleta manjonjo yote live bila chenga mbele za watu.

Vinguo vifupi na vifua wanaacha wazi kabisa. Unakuja mtu anakula romance ya kiukwelikweli kabisa ananyonya mate LIVE.

Mbona movies za wenzetu siyo lazima saaana kuweka kipande cha mapenzi. Sisi tuna shida gani?

Sex sex sex ! It's too much.

Badilikeni bhana.


Nawasalimu.

Mfungo mwema!
 
Hebu wacha nikamtazame chichi na Ramona wa kimya milele ITV.

Mapenzi bila ushuhuda Ndio majukumu ya wengi.
 
Back
Top Bottom