Battle Fid Q Vs Afande Sele

Battle Fid Q Vs Afande Sele

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,186
Fid Q mkali wa mistari na Mfalme wa Rymes Afande sele Nani Zaidi?
 
Mkuu acha kumfananisha fid q na mambo ya ajabu..

Ukisikiliza SUMU na Ulimi mbili za fid zinafunika ngoma zote za afande ukiziunganisha...
Fid ni habari nyingine Tz hii hana mfano labda umfananishe na watu wa mabara mengine kama amerika n.k
 
Sulemani Msindi...
Fid yupo okay lakini ma stan wake wana mu-overrate.
 
Sijawahi muelewa fid q mpaka kesho.
Rymes za Simba sele hajatokea mpk leo kuzivunjaa
 
Back
Top Bottom