Mashairi ya wimbo wa weusi "mdundiko"

Mashairi ya wimbo wa weusi "mdundiko"

Download tu ukiisikiliza Mara moja utaielewa iyo taarabu
 
Mdundiko, mdundiko, mdundiko, [emoji445] [emoji445]
Waya mkali waya [emoji445] [emoji445]
Wee ba_ba waya mkali waya [emoji445] [emoji445] [emoji445]...............
 
Habari zenu wapendwa wa JF,

Nilikuwa naomba mtu mwenye wimbo wa weusi unaoitwa Mdundiko naomba aniandikie hapo chini kuanzia kiitikio na ubeti wa kina G Nako, Nikki Wa Pili.

Joh Makini na Bonta Maarifa maana mimi nimeshindwa kuusikiliza maana masikio yangu yana matatizo.

Asanteni
We siku Upo kwenye mfungo.....
 
Mdundiko, mdundiko, mdundiko, [emoji445] [emoji445]
Waya mkali waya [emoji445] [emoji445]
Wee ba_ba waya mkali waya [emoji445] [emoji445] [emoji445]...............
Endelea bas my
 
Back
Top Bottom