Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hello, Jamani nina swali kidogo wataalam mnaweza nisaidia.Hivi kwa ukiliza wimbo usiku hua unabadirika mlio na speed yake yaani unaenda haraka kama unatumia simu kulizia mziki? Mimi ninapenda...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mzee wa Bwax na Man fongo tayari washafanya show na sasa ni zamu ya Mesen Selekta Saa 11:53 Yuda msaliti anapanda jukwaani Host wa show FIDO NA SAMMY LOVE wanatoa zawadi ya Bull condom kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Msaada tafadhali, ni maeneo gani leo Karaoke itakuwa inapigwa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ebana eh huu uzi maalum kwa watu wanaohusudu huo mziki.. Sio mziki wa wavaa vikuku na rasta huku wamepaka lipstik.. pochi nene za kiniaje. Nani ni best rap artist 2018?
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Jina na je naipataje!?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tumalize ubishi jamani nani wakali?? Tumeona Vijana watamaduni wanawatupia maneno Rostam kama waimba ngonjera wakati rostam wakijibu wao wanafanya biashara miziki ya kusifiwa magetoni washaacha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jina na je naipataje!?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi naomba kuuliza, mwenye kufahamu ni link gani naweza kutumia kudownload full show bet awards 2018. Kama kuna coyote anayefahamu au amedownload naomba aniambie link aliyotumia, aksanteni.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kama ilivyo kawaida mchezo huu hauitaji nguvu nyingi sana ila kubwa ni risk taker tu, lakni karibuni tujaribu kujadili point 10 (odds) za kuweka mzigo ili wikend iwe njema.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo itakuwa ni mara ya tatu kama sio ya nne diego simeon anaingia fainal ktk hatua ya kushindania taji na vijna wa LOPEZ na mara zote amekuwa akipoteza mbele ya vijana hawa wenye bahati ya mataji...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale wapenz wa hip hop za Afrika kusini. mmeona goma jipya la kwest ft Wale? Goma beat limesimama kama kawaida yake Kwesta na lile lisauti lake la kukwaruza. naona imezishinda nyimbo kama...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna any producer wa EDM, kama upo jitambulishe tuweze juana na kupeana support in any wway we can. Mi naitwa Raphael under alias ya BITMEX sijarelease tracks nyingi za EDM ila kun a lot of fire...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Wiki nzima akili yangu na nina uhakika za wengine pia zimekuwa inatibuliwa na habari za MAFISADI wa Bongo, ngoja tuburudike basi. 1)Vijana Jazz Band na Ngapula kwa wale Mabaharia wote FMES...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
nimeangalia kuanzia season 1 episode 1 - 7 ingawa season one zimetoka episodes 13 nimefanikiwa kwenye internet kupata 7 tu. kma kuna ambaye anajua nawezaje pata hizo episodes nyingine kuanzia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Curvaceous Gambian Ghana-based actress and model has disclosed that 99.9% of the men she dated could not satisfy her so her Love Machine was doing most of the work those she dated could not do...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
toxicwap.com fzmovie tupia nawe unazo jua
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MWACHUMVI LUGHA TATA MCHARUKO KING MAJUTO
0 Reactions
2 Replies
5K Views
STORY: MANOEUVRE (MANUVA) MTUNZI: HERY_MILLER SEASON 01E01 Baada ya purukushani na hekaheka za mapumziko ya mwisho wa wiki ndani ya jiji la Dar es salaam hatimaye majogoo yaliwika...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Sikiza hii album mpya ya Nicki Minaj hapa
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mnazi hauna makalala, nilipenda na kucheka sana alivyokuwa akiimba na kucheza alipokuwa akiuimba wimbo huu. Jee wewe unakumbuka kipi alichofanikiwa kukuchekesha Mzee yule?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom