Nmesikitika kwa taarifa nilizozikuta huko mitandao mingne kwamba BASATA wamewataka Rostam waufute wimbo wao wa parapanda kwenye account ya YouTube...
Binafs hili baraza nahisi wanakoelekea n kuua...
Rick Grimes – Walking Dead
Quinn – Into the Badlands
Ragnar - Vikings
Jon Snow – Game of Thrones
Damon Salvatore – The Vampire Diaries
Spartacus – Spartacus
TITLE:HESHIMA YA NDOA.
MTUNZI:IMA WA JONI AKA MSANII JOTO LA MOTO.
NYUMBANI KWA MZEE MAJUTO-ASUBUHI.
Mau, kijana machachari, 24, anafika kwenye nyumba moja iliyopo kati kati ya msongamano wa...
Habari zenu
Hii inawahusu moja kwa mija wale wanaopenda kujichubua jaman wakati mwingine hadi kero sasa unakuta mtu kajichubua uso katoa ngozi yake nzuri ya kiafrika na baada ya kujichubua anapaka...
Leo nimeiskiliza hii nyimbo ni balaa yani ni bonge la idea full kung'ata na kupulizaaa yani wameimba kama PANYA.:cool::D
Wimbo wa taifa anaekubali agonge like
Habari zenu wakuu....
Kama inavyosomeka hapo juu...... Kuna movie/series ya kijapani kwa jina Terraformars......kwa yeyote mwenye kuwa na link ya kuidownload anisaidie tafadhari...
Yeah
Kuna tabia ya kipuuzi sana humu jf kwa members fulani
Mtu analeta simulizi halafu hamalizii huyo anatakiwa apigwe ban mnajaribu watu wazima????
Mwingine anaanzisha uzi wa simuliz...
SAPOTI FILAMU ZA ZETU SUBSCRIBE KWENYE LINK HII: Swahili Universe - Latest Bongo Movies uangalie Zaidi ya filamu 200 za bongo
Hii ni channel yako namba 1 kukuletea visa na mikasa mbalimbali...
Kama kuingiza hela jamaa wamefanikiwa tena sana, kwa hako ka mtindo ka kulipia 1000 azam tv kwa jinsi movie ilivokuwa hot naiman jana na leo si chini ya milion 100 wameingiza.
Back to mada...
"BURY ME ALIVE" Is such a beautiful movie with an amazing story-line, I don't think you'll want to miss this one. Click on the following link https://www.youtube.com/watch?v=xdDbUib-Kps … to...
nilikuwa nafatilia kwa mbali 40 ya mtoto wa zamaradi mketema,kikubwa kilicho Nishangaza ni menwja mkuu wa diamond platinumz Babu tale kutangaza eti atawatolea viza kwenda South Africa,kwenye...
🎵🎤🎼🎶🎵🎤🎼🎶🎼🎶🎼
👤 for Roma na
🙊 for Stamina
👤Karibu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h,
🙊...
Salaam wakuu, leo tu share pamoja nyimbo kali kutoka kenye playlist yako. Mimi nyimbo yangu best of the best ni ya
MIGOS FT. GUCCI MANE - SLIPPERY
usisahau kuweka jina la nyimbo na link ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.