Pesa ina nguvu sana

Pesa ina nguvu sana

Mahole

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
682
Reaction score
924
`Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.

Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*

Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'

.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......

Pesa iko na power mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku nilipo jenga nyumba kali ya kisasa kijijini huwezi amini watu waliokuwa hawanipi salam siku niliyofika walikuwa ananipa salamu ya mikono miwili. nikagundua heshma ya familia imepanda sana. jamani tafuta pesa heshima itakuja tuuu yenyewe
 
`Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.

Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*

Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'

.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......

Pesa iko na power mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom