Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,287
- 70,696
Hivi ni kwanini wanaume wanakatika sana wakiwa wanacheza mziki wanamaanisha nini? Yaani sipendi kabisa kuona mwanaume akikata mauno hata hawa wasanii wetu wanaudhi na kukera aisee.
Hamumuoni Darasa anavaa vyema, havai hereni, anavyocheza sasa kigentlemen mpaka unapenda tu kumuangalia, hivi na kina Chriss Brown wanakatika hivi kweli sijawahi ona hayo mauno mnayokatika hadharani hebu yapelekeni kitandani kwa wake zenu au wapenzi wenu.
Napenda sana mwanaume mgumu akicheza mziki acheze kiuanamme mfano Fid Q hua hakatiki na yuko poa tu. Sasa ukienda club sehemu za starehe wanaume wanakatika unakuta limtu linakatika linataka licheze nawe aisee hua sitaki kabisaa, mwanaume unakatika ya niniii?
Jifunzeni basi kupitia hawa kina Darasa, Joh Makin, Niki wa pili na vijana wengine wanaocheza vyema tu, hayo mauno katikeni kwenye viuno vyetu kama mnajua kukatika kweli bana.
Yaani wanaume wanaokatika wakiwa wanacheza mziki wanakeraa aisee na vinguo vyenu vya kubana.
Tusameheane tu ila ukweli usemwee