prospilla
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 1,137
- 1,682
Tukiachana na mambo ya utaifa sijui uzalendo au kupenda vya nyumbani
Hapa tunaongea kama Jumuiya ya Africa mashariki,
Hiki kipande cha hii jumuiya yetu game ya HIP HOP imepoza sana, hamna ushindani, hamna watu wenye uwezo kama kipindi cha kina CHID BENZI na The late Ngwair.
Eti mpaka msanii wa kurap naye anasubiria kiki ndo impaishie nyimbo yake kama kina shishi .
Ukiangalia tu rappers waliopata kupita kwenye dk 10 za maangamizi utajua kwa kweli Tz kwa sasa hamna rapper anaweza kugusa levo za papa Jones./
Kuanzua freestyle, flow, content ya lyrics na hata pumzi.
TZ tumebaki na ma rapper wa studio tu. Ukiwaweka LIVE yoyoo nyingi afu wanarudia mistari ya truck zao tuu reffer YOUND DEE na J MO kwenye dakika 10 za maangamizi E.A radio (planet bongo)
Wengine siwataji kutokana na heshima yao maana mtaishia kutukana hapa.
NB nazungumzia game ya sasa.